Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,890 Reaction score 141,552 May 31, 2013 #1 Ipo live on ESPN sasa hivi. Ebana hivi vitoto ni kiboko! Vinanifanya mtu mzima nijione sijui kitu kabisa katika medani za tahajia na msamiati wa Kiingereza. Nani mwingine anafuatilia?
Ipo live on ESPN sasa hivi. Ebana hivi vitoto ni kiboko! Vinanifanya mtu mzima nijione sijui kitu kabisa katika medani za tahajia na msamiati wa Kiingereza. Nani mwingine anafuatilia?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,890 Reaction score 141,552 May 31, 2013 Thread starter #2 Madogo wenye asili ya Kihindi wanatisha!
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,329 May 31, 2013 #3 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,890 Reaction score 141,552 May 31, 2013 Thread starter #4 BAK said: Click to expand... Lol...mpaka sasa nimetoka kapa na maneno ambayo yameshatajwa! Wewe mwenzangu vipi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BAK said: Click to expand... Lol...mpaka sasa nimetoka kapa na maneno ambayo yameshatajwa! Wewe mwenzangu vipi?
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,329 May 31, 2013 #5 Huwa napenda kuangalia hii ila leo naangalia game 5 ya Eastern Conference finals Indiana VS Miami. Nyani Ngabu said: Lol...mpaka sasa nimetoka kapa na maneno ambayo yameshatajwa! Wewe mwenzangu vipi? Click to expand...
Huwa napenda kuangalia hii ila leo naangalia game 5 ya Eastern Conference finals Indiana VS Miami. Nyani Ngabu said: Lol...mpaka sasa nimetoka kapa na maneno ambayo yameshatajwa! Wewe mwenzangu vipi? Click to expand...
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,890 Reaction score 141,552 May 31, 2013 Thread starter #6 BAK said: Huwa napenda kuangalia hii ila leo naangalia game 5 ya Eastern Conference finals Indiana VS Miami. Click to expand... Weka split screen kama mimi lol.
BAK said: Huwa napenda kuangalia hii ila leo naangalia game 5 ya Eastern Conference finals Indiana VS Miami. Click to expand... Weka split screen kama mimi lol.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,329 May 31, 2013 #7 Kuna njemba hapa hazitanielewa. Nyani Ngabu said: Weka split screen kama mimi lol. Click to expand...
Kuna njemba hapa hazitanielewa. Nyani Ngabu said: Weka split screen kama mimi lol. Click to expand...