aminangalo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2013 Posts 974 Reaction score 190 Dec 31, 2013 #1 Kuna mwimbaji mmoja wa injili mwasabweti kaimba ni kwa Neema tuu kila ninapoenda najisikia kumsukuru Mungu kwa Neema yake Siyo kwa nguvu wala kwa uwezo bali ni kwa Neema tuuu
Kuna mwimbaji mmoja wa injili mwasabweti kaimba ni kwa Neema tuu kila ninapoenda najisikia kumsukuru Mungu kwa Neema yake Siyo kwa nguvu wala kwa uwezo bali ni kwa Neema tuuu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,204 Reaction score 99,943 Dec 31, 2013 #2 Ndio huu hapa kwenye Youtube NI KWA NEEMA NA REHEMA EDSON MWASABWITE ZAKO [VIDEO] - YouTube
C cha' JF-Expert Member Joined Jun 22, 2013 Posts 466 Reaction score 115 Dec 31, 2013 #3 Neema ya BWANA izidi kuwa nasi 2014. Amina.
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,345 Reaction score 8,565 Dec 31, 2013 #4 Hakika ni kwa neema na rehema tu Tunaamini neema na rehema zitaendelea kuambatana nasi hata kwa mwaka 2014 Amina......!
Hakika ni kwa neema na rehema tu Tunaamini neema na rehema zitaendelea kuambatana nasi hata kwa mwaka 2014 Amina......!