2013 NBA Playoffs

Hongera Miami Heat..hongera King James

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
What an incredible game. Poleni mlioenda kulala. Best Game 7 ever.
 
Pamoja na ushindi Miami lazima tukubali siyo wazuri kiasi hicho.
Ukizingatia wana watu kama Bosh, Wade, James, Ray, Chalmer n.k. hawakupaswa ku-struggle kwa New Jersey au Spurs

Ukiangalia Spurs ina wachezaji wengi ambao ni wazee.
Timmy yupo katika kumalizia career, Mano Ginobli ndiye huyo naye uzee umeingia.
Tonny hayupo katika form kwa maumivu.Hakuna point guard mwingine
Kijana pekee aliyeongeza nguvu ni Green.

Game changer siyo Lebron ni Ray Allen na 3 point kukiwa na sekunde 5.9. Yule ndiye aliyeibeba Miami.
Kosa la Papovic ilikuwa kumtoa Tim Duncan ambaye angeidaka ile rebound kabla ya kumfikia Ray

Nina uhakika trade itakayofanyika ita favor sana Knicks kwasababu watataka kumuongezea Camelo point guard mzuri zaidi. Naina hakika Stoudmire atafanyiwa trade.

Timu nyingine inayokuja juu sana ni Brooklyn. Hakuna aliyejua itafika hata paly off kwa mwaka huu.

Upande wa OKC nako nadhani West ataondoka kwenda kutafuta timu ya ushindi.

Nimesikitika sana kwakweli. Sikutaka Miami iwe bingwa kwasababu ya nyodo na tambo zao.
I hate Miami, hata kama mtaniita hater huo ndio ukweli. Wana nyodo sana wale
 

miami kama barca vile enheee mkuu nguruvi3
 
Wazee wa picha mlipania hongereni mashabiki wa Miami heat naona Lebron Msemo wa and 1,2'3... Unaanza kumkubali kuanzia 4 tunamkaribisha Lakers.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…