ha haaaa, umeingia vibaya tu babu.....hata mimi nilijua huku free stress, ila ukikutana na mabinti wakorofi kama FP utaliona jukwaa chungu,
ahaaa! unajipigia debe kwa huyu mgeni ee? subiri wasaidizi wangu wanaendelea kufanya marekebisho kwenye mitambo yangu,...utakoma...ha haaaa, umeingia vibaya tu babu.....
huku mimi natambulika kama binti mpole kuliko wote.....
ha haaaaaaaaaa, wageni hawana nafasi..... tayari nilishamilikiwa......ahaaa! unajipigia debe kwa huyu mgeni ee? subiri wasaidizi wangu wanaendelea kufanya marekebisho kwenye mitambo yangu,...utakoma...
DA KWA HILI KWELI zumbekuu afute kauli yakeha haaaa, umeingia vibaya tu babu.....
huku mimi natambulika kama binti mpole kuliko wote.....
afadhali ndugu yangu mpalu umekuja kunitetea, asante saa....achakumwonea binti wa watu hana makuu FP hana tatizo na mtu labda useme jingine
umeamini eeehhh!FP njoo huku utoe zawadi haraka...
na asipofuta tunamreport kwa mod apidwe ban huku arudi kule kule kwenye stress zaoDA KWA HILI KWELI zumbekuu afute kauli yake
kabisa itabidi arudishwe kule au itabidi akabidhiwa kwa kiranja mmoja aonyeshwe mazingira kwanzana asipofuta tunamreport kwa mod apidwe ban huku arudi kule kule kwenye stress zao
asante sana kaka.....AHSANTE!NAWE PIA!kwa nini uonewe na kaka yako nipo
sawa kabisa kaka yangukabisa itabidi arudishwe kule au itabidi akabidhiwa kwa kiranja mmoja aonyeshwe mazingira kwanza