Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
rais wa equatorial guinea yupo hapa pia anacheki game!na jakaya pia nadhani anaangalia...lakini yeye ni kwenye tv!
Ni Rais wa Equatorial GuineaNiliona mtu kama Mugabe jukwaa kuu. Ni yeye au waafrika tu wanafanana?
Dakika ya 85
Zambia 0-0 CIV