Wewe ulitaka wa mjini wanywe bia?
Wewe unafikiri kwa kutumia masaburi,maji ya kisima siyo tatizo,tatizo ni visima kuchimbwa mjini,sngida ni katika mikoa iliyo na ukame mkubwa hakuna mito ya kuweza kupata maji mwaka mzima hivyo visima ni lazima,visima vichimbwe mbali na makazi ya watu halafu maji yaletwe mjini kwa njia ya mabomba.Wewe ulitaka wa mjini wanywe bia?
Omr ungelikuwa ni mwanangu wa K ningekuoza hata pasipo kuhitaji mahali..you are really exceptional,good!
Kama ulivyosema, hata Dar tunahitaji Sabodo atuchimbie visima. Hivi unajua ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar wanapata maji ya bomba? Usingeshangaa Singida mjini wakati hali ni hiyo hiyo Dar. Hata hivyo halmashauri ya Singida mjini ina vijiji kadhaa, Unyamikumbi, Kisaki, Mtamaa, Kinyeto ,Kisasida nk ambavyo hivyo visima ni muhimu kwao.
Swala la miaka 50 tuko kapa ni kwa sababu ya ukilaza wa waTz kuichagua CCM kila siku....miaka mingine 100 tutakuwa hivi hivi kama tutazidi kuwa na vichwa maji.
Watanzania wote bila kujali ni wa mjini au vijijini wanahitaji maji...hiyo ya kulazimisha eti mjini kuwe na mabomba si hoja ya msingi,kipindupindu kinasababishwa na mchanganyiko wa uchafu mwingi incl.sewage system,vyoo,vyakula tunavokula pamoja na huko masokoni.unapoleta mada hapa ukumbuke inasomwa na watu wengi wenye akili zao acha propaganda za chuki.
Unajua ubaya wa kujimba visima kwenye makazi ya watu? Ni kwamba kunakuwa na underground movement of particles(e.g. Salt, compounds consisted in wastes(kinyesi)) from toilets/dampo to wells. Kwahiyo kiafya hichokitu ni hatari sana hata kumong'onyoka meno wa watumiaji wa maji ya kisima inatokana na leakages na kuyeyuka kwa kemikali za cement iliyotumika kujengea kuta za kisima. Ushauri vijiji sana miji ni hapana.
Nimecheka hadi mbavu kutaka kuvujika eti Big Brother ni utekelezaji wa ilani ya majambazi kweli tumeishiwa.