The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,586
Ulikuwa mmoja wao niniNgoja nkaushe.
Saizi Revo sikwea sidhani kama ipo tena maana hawa waliopitia Jkt wamekuwa kama mlendaIla kuna watu ni hatari nakumbuka alshabab kipindi cha mgomo tulikuwa pale utawala mwanadada akaanza kutiririsha maneno maprof walitoka kwny ofisi zao wakasimama kule juu gorofani wakimsikiliza walibaki wanatikisa tu vichwa vipaji vyao vingeendelezwa tungekuwa na wapembuzi na wanasiasa makini sn,
Aliyeandamana peke yake ni Ndunguru au Mwita?Aiseee Ndunguru alikua mbishi kwelikweli alianza kuandamana peke yake akiwa peku,, daaah Tanzania kuna watu walikua na mioyo ya kipekee sana,, imagine alikua na mkopo na alikua mwaka wa tatu anamaliza lakini alishindwa kukaa kimya mwanafunzi wa mwaka wa kwanza alipokosa mkopo. Halafu akaja funga kazi aliejiita alshabab,,
Ee bwana eeh daah, nani alifanya hivyoKuna jamaa niliambiwa walilawitiwa baada ya kufungwa na kuteswa, na hapo ndipo vurugu zikakoma
Ee bwana eeh daah, nani alifanya hivyo
Watu wasiojulikanaHawajulikani mkuu.
Mimi sijasema.Watu wasiojulikana
Aliyeandamana peke yake ni Ndunguru au Mwita?
Kipindi hicho shule nyingi zilikuwa zinakabiliwa na baa la njaa, kama kumbukumbu ziko sawa kipindi hicho wazabuni waligoma kwa sababu serikali ilikuwa haijawalipa kwa muda mrefu, baadhi ya shule zilifikia hatua ya kufungwa kwa ukosefu wa chakulaMimi sijasema.
Ila UD nilijiunga 2010 na nilikutana na masekeseke sana.
Na masekeseke nilianza nayo secondary, kama unakumbuka 2008-2010 shule nyingi zilikuwa na fujo sana.