Awiaman ooza JF-Expert Member Joined Mar 25, 2023 Posts 512 Reaction score 868 Mar 29, 2023 #121 Hechinodemata said: Nilikua advance, enzi hizo picha za wema sepetu kavaa bikini za miss Tanzania zilikua zinabamba bafu la shule Click to expand... Saivi kadorora kama nn amakweli kila kitu kina mwisho
Hechinodemata said: Nilikua advance, enzi hizo picha za wema sepetu kavaa bikini za miss Tanzania zilikua zinabamba bafu la shule Click to expand... Saivi kadorora kama nn amakweli kila kitu kina mwisho
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #122 Stratopause said: Nilikuwa form2 Click to expand... Bad kijana wasisiemu
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #123 Gily said: Unatakiw uwe unatusalimia ma brother wako, alafu usituweke sana kusubiri mwendelezo kwenye story zako. Mimi ni baba yako mdogo kabisa. . Click to expand... Sema bamdogo umenitelekeza πππ
Gily said: Unatakiw uwe unatusalimia ma brother wako, alafu usituweke sana kusubiri mwendelezo kwenye story zako. Mimi ni baba yako mdogo kabisa. . Click to expand... Sema bamdogo umenitelekeza πππ
Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,647 Mar 29, 2023 #124 Johnnie Walker said: Shikamoo kaka dah nilisahau Click to expand... Marhabaaa... Sio poa. Kipindi hicho nacheza game la mpira la vidoti kwenye motorola ya bi mkubwa, enzi hizo anatumia line ya Celtel
Johnnie Walker said: Shikamoo kaka dah nilisahau Click to expand... Marhabaaa... Sio poa. Kipindi hicho nacheza game la mpira la vidoti kwenye motorola ya bi mkubwa, enzi hizo anatumia line ya Celtel
khamis kilo JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 1,201 Reaction score 1,497 Mar 29, 2023 #125 Nilikuwa nipo darasa la 7 shule ya msingi Mabibo
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #126 Chukwu emeka said: Mwanangu wa Pili wewe Click to expand... Sawa kumbe ww ni mdingi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,102 Mar 29, 2023 #127 msibani
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,870 Mar 29, 2023 #128 Chukwu emeka said: Na unakuta unakula matusi na mjukuu Click to expand... acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee
Chukwu emeka said: Na unakuta unakula matusi na mjukuu Click to expand... acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,870 Mar 29, 2023 #129 Johnnie Walker said: Bibi ujambo Click to expand... Badala ya kunipa shikamoo eti sijambo
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #130 2 Chainz_ said: Marhabaaa... Sio poa. Kipindi hicho nacheza game la mpira la vidoti kwenye motorola ya bi mkubwa, enzi hizo anatumia line ya Celtel Click to expand... Ndio airetel ya sasaivi πππ
2 Chainz_ said: Marhabaaa... Sio poa. Kipindi hicho nacheza game la mpira la vidoti kwenye motorola ya bi mkubwa, enzi hizo anatumia line ya Celtel Click to expand... Ndio airetel ya sasaivi πππ
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,204 Reaction score 40,642 Mar 29, 2023 #131 Johnnie Walker said: Sawa kumbe ww ni mdingi Click to expand... Ukiniona unaweza kudhani ni agemate wako kutokana na udongo wangu
Johnnie Walker said: Sawa kumbe ww ni mdingi Click to expand... Ukiniona unaweza kudhani ni agemate wako kutokana na udongo wangu
Mrs Thabo Bester JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 3,144 Reaction score 7,932 Mar 29, 2023 #132 adden said: Hahahah ndio natoka chuo cha utalii. Hapo damu ya moto hatareee niko fiti kinoma yaani barobaro raha zote za dunia nazitaka.sasa hivi nimepoa ni mtu kuchek taarifa ya habari ITV na kuangalia taarifa ya hali ya hewa tu. Click to expand... Bora wewe ITV ..MiΓ¨ Aridhio ya TBCπ
adden said: Hahahah ndio natoka chuo cha utalii. Hapo damu ya moto hatareee niko fiti kinoma yaani barobaro raha zote za dunia nazitaka.sasa hivi nimepoa ni mtu kuchek taarifa ya habari ITV na kuangalia taarifa ya hali ya hewa tu. Click to expand... Bora wewe ITV ..MiΓ¨ Aridhio ya TBCπ
Mulokozi79 Member Joined Mar 13, 2023 Posts 6 Reaction score 5 Mar 29, 2023 #133 Chekechea kambarage primary school
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #134 khamis kilo said: Nilikuwa nipo darasa la 7 shule ya msingi Mabibo Click to expand... Bado unanguvu unaweza kutumia chademi kama kijana
khamis kilo said: Nilikuwa nipo darasa la 7 shule ya msingi Mabibo Click to expand... Bado unanguvu unaweza kutumia chademi kama kijana
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #135 Numbisa said: msibani Click to expand... Wanani tena mkuu
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,204 Reaction score 40,642 Mar 29, 2023 #136 Shunie said: acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee Click to expand... π€£π€£Hapo sasa shida ndiyo inaanzia hapo
Shunie said: acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee Click to expand... π€£π€£Hapo sasa shida ndiyo inaanzia hapo
Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,647 Mar 29, 2023 #137 Johnnie Walker said: Ndio airetel ya sasaivi πππ Click to expand... Naaaam... Imekuwa muda kidogo aisee ππ
Johnnie Walker said: Ndio airetel ya sasaivi πππ Click to expand... Naaaam... Imekuwa muda kidogo aisee ππ
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #138 Shunie said: acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee Click to expand... Umeongea kwa uchungu yakishakukuta? ππ
Shunie said: acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee Click to expand... Umeongea kwa uchungu yakishakukuta? ππ
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #139 Shunie said: Badala ya kunipa shikamoo eti sijambo Click to expand... Shikamoo bibi
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,467 Reaction score 65,789 Mar 29, 2023 Thread starter #140 Chukwu emeka said: Ukiniona unaweza kudhani ni agemate wako kutokana na udongo wangu Click to expand... Kumbe mzee duh dingi uko vzr
Chukwu emeka said: Ukiniona unaweza kudhani ni agemate wako kutokana na udongo wangu Click to expand... Kumbe mzee duh dingi uko vzr