Nilikuwa kijana machachari nafanya kazi kwenye kampuni mmoja hivi ya clearing and fowarding pale kurasini, Nchi ilikuwa tamu sana laki unaipata kirahis kama buku.
Nimemkumbuka Fina bint mrembo matata alikuwa anaishi pale karibu na buguruni shell, tafadhal Fina ukiona ujumbe huu njoo PM.