2006 nilitoka Bukoba baada ya kufukuzwa shule mwaka 2005 nikiwa form 3, nikapitia Kigoma kusalimia then nikaenda Tanga. Nikaanza shule tena pale Tanga mjni nikarudia form 2