Nne vp mkuu? Kwani ikitumiwa na mwanamke inakuwaje?
unaua bendi mkuu toa 5.9Nne vp mkuu? Kwani ikitumiwa na mwanamke inakuwaje?
umesomeka kiongoziNi hisia zilizojengeka kwamba akitumia mwanamke gari hutunzika japo kiuhalisia wanawake wengi hawana knowhow ya magari hivyo saa nyingine huisababishia gari matatizo makubwa
1 JZ Six Cylinder 2.5ccCc ngapi hiyo,.