20 wa Sitta hawa...

Mwingize na bibi kiroboto mkuu. Je Wasira vipi? Hizi ndo hazina ambazo Sitta anajivunia. Mimi nadhani alikuwa anatania.
Kwanza wote wababaishaji.Pili,wote wamejaa kejeli,matusi,sifa za kijinga na propaganda.Tatu,wote ni mafisadi. Nne,wote wana roho za kwanini.Tano,wote ni wachumia tumbo.Sita,wote si wakuwaamini. Saba,wote ni wasema uongo na fitina.Nane,wote walim-asi J.K.Nyerere.Tisa,wote ni watoa na wapokea rushwa.Kumi,wote ni watu wa makundi,wadini,wakabila na wapenda utengano.Na nini sijui...

1. Samwel Sitta
2.Edward Ngoyai Lowassa
3.Bernad Kamilius Membe
4. Dr.Asha-Rose Migiro
5.Dr.Harrison Mwakyembe
6.Andrew Chenge
7. Sofia Simba
8.Anne Kilango Malecela
9.Dr.John Pombe Magufuli
10.Prof.Sospeter Muhongo
11.Dr.Hussein Ali Hassan Mwinyi
12.Dr. Emmanuel Nchimbi
13.Ezekiel Maige
14.Mwigulu Nchemba
15.Mohamed Dewji
16.Job Lusinde
17.Nape Nnauye
18.Hussein Bashe
19.Juma Nkamia
20.William Lukuvi

Kati yao,mmoja atakuwa mgombea wa Urais 2015.Lazima. Yeyote haaminiki.
 
Hawa wengine hawajulikani lakini bado unasema wanaweza kuwa Rais.
Inanikumbusha wakati ule wakati wa kampeni za urais zilizopita. Vijana wawili walikuwa wanahojiwa na ITV,kijana mmoja anasema,'' Kikwete hawezi kushinda,atashinda yule mgombea wa Chadema,yule,nani yule?nani yule?'' Halafu mwenzake akamwambia,''Dr. Wilbod Slaa''. Akasema,''Ndiyo,Dr. Slaa atashinda.''
 
Back
Top Bottom