20 Questions To Ask Your Potential Spouse

maswali kama uko kwenye intavua bwana wakati unataka nonilihino tu..
 
Kwa mademu wa kiswahili ninaowajua,utapigwa kamba mpaka uchanganyikiwe,kitu cha msingi km ingekuwani mm,nisingeuliza hayo maswali direct kiasi hicho ila ninge-observe kwa kufanya kitu inaitwa "Participant observation" ambapo ningemuuliza hayo maswali indirect na very informally na angejibu unconscious kuwa nataka kujua hicho alichojibu. Kwa wenzetu wa huko mbele unaweza kuuliza namna hiyo na kupata honest answeres,co hao wa kwetu kaka
 
ukishamaliza kumuuliza sidhan kama utamuona tena!!
 
yakuambiwa ongeza na ya akili ya kuzaliwa! pia waswahil wasema mtu aweza ongea maneno meeeengi kama 100 iv bt yakweli yakawa ma5 tu!
 
si nakudanganya tuu,nasoma saikolojia yako nakupa majibu unayoyapenda,full stop
 

cousin nakumiss sana.
 
So, here are 20 questions to ask a potential spouse.

1. Do you have any life-threatening or incurable diseases?
Nafikiri ilitakiwa iwe '20 things to know from potential spouse'. Kwa ujumla maswali kama haya huwezi kuuliza 'direct' lakini ukijipa muda utafahamu tu. Ingawa kwa kawaida tunaweza kubeza hivi vitu lakini mara nyingi hutusumbua sana katika mahusiano.Hivyo ni vizuri kuingia katika mahusiano/ndoa ukiwa unajua 'risk involved'.
Kwa mfano, kujua hali ya magonjwa ya kurithi ya mwenza ni muhimu. Katika maisha ya kawaida utakuta baba ana pumu (asthma),mama ana pumu na watoto wanarithi pumu. Kama ulilijua kabla ya mahusiano basi itakupa ufahamu wa kujiandaa ukijua kuwa kuna uwezekano watoto wanaweza wakaurithi na pia kulea familia yenye huu ugonjwa ni changamoto ya aina yake. Magonjwa mengine ni kama 'sickle cell' n.k.
 



Hapana Mwali,

Uelewa wangu ni kwamba haya maswali (whether asked directly, indirectly, or by any other means) majibu yake ni MUHIMU SANA kuyafahamu.

Whether utayafahamu with muda, kupitia maongezi yake, vitendo, marafiki au any other means..ni MUHIMU SANA kuyafahamu majibu yake KABLA hujaamua kusema ndiyo na kuanza mahusiano.

FAILURE TO DO SO: Parking at Your OWN RISK.




Cc: Heaven on Earth, mwallu, brenda18, miss chagga, christine ibrahim, lara 1, Smile!!!
 
Last edited by a moderator:
hapo ni ukweli haswaa..
ukikosa subira unaengeneza questionaire kabisa unamgawia ajaze lolz
 
hapo ni ukweli haswaa..
ukikosa subira unaengeneza questionaire kabisa unamgawia ajaze lolz

Unapoelekea parokiani kusali pitia hapa kwangu nikupe nakala yako...utanirudishia ndani ya siku mbili iikiwa imejazwa yote!
 
siku ishirini..kila swali siku moja..maana kila swali majibu ni page moja
napitia saivi tu..weka na muhuri kabisa
Unapoelekea parokiani kusali pitia hapa kwangu nikupe nakala yako...utanirudishia ndani ya siku mbili iikiwa imejazwa yote!
 
kumuuliza mtu ashawai kua na wachumba wangapi b4 itakusaidia nini? alafu ukishajibiwa tafsiri yako ni nini? kwa kifupi mengi kati ya hayo utajibiwa uongo so utakua umepoteza tu mda wako na ukipewa majibu correct hakika hutakua na hamu ya kuendelea na huyo mtu in other word hutapata mpenzi kama kweli utapewa correct answers!!! ndo mana waswahili wakasema ''ukimchunguza sana bata utashindwa kumla'' pole wenzio kwa bata tunakula foie gras!!!!
 

yani huu ni ukweli usioepukika!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…