20 Poorest Countries In The World

20 Poorest Countries In The World

kidumu chama tawala,zidumu fikra sahii za mwenyekiti! naanza kuyaona masha bora kwa kila mtanzania sasa!
 
Hii listi ni ya 2011 na sasa tuko Q1 ya mwaka 2013.
Twaomba latest report.
Naihurumia DRC na utajiri wote huo wako wa kwanza vita mbaya ndugu zanguni
 
Mleta mada umetumwa kupima upepo...haiwezekani tusiwemo kwenye tatu bora.
 
Hawa wasomali wanokufa kila siku wakipita tz ni vipi?
 
Tuandamane hawezi kutunyima ushindi wa kuwa 20 bora Duniani.
 
Back
Top Bottom