20 Foods That are Killing you Slowly

20 Foods That are Killing you Slowly

Unajitesa..... wenzako wanakula ndiz kitimoto ww unapiga mkia mchemsho.... mwisho wa siku unakufa mapema kuliko yeye.

Kula roho yako iridhike.... tafuta pesa kula ufurahie maisha.... ukifa mwili unakuwa chakula ya decomposers.....(funza)

Acha kujibanabana.
Cha msingi kula vyema usishindwe kufanya kazi
 
Hata tule matunda vipi na kuacha hivyo vyote ulivyotaja kifo ni sehemu ya maisha yetu.
 
daaah,no.12...kyeleuwiiiiiiiii,maziwa,marua,malela,milk aaah jamani!acha tukufe tu ila hayo siachi aitheeee
 
How come wazungu wanakula hivyo vyakula vyote ila life expectancy yao ni 75+....
 
Oya Faza eeeeh! Tusifuatilia jomba, nile mkate mkavu kwa kuihofia Blueband?
 
Back
Top Bottom