Hauja Consider Processor Mkuuu.......... Lakin ya Chini Imenyimwa storage na vinginevyoila imepewa Octa core ya 1.5 ghz.....
Kuna Kitu alitufundisha Chief Kuwa hata 1.7 ghz quad core n nzur kuliko 2.7 ya dual core
Labda KUhusu Exynos Na Snapdragon Na Krait hapa ndo Huwa Panan Changanya Ipi n Best