Kweli kabisa kiongozi.Hii inatokana na mafunzo aliyopata.Vidole viwili + vidole viwili = na vidole vinne.amepata lakin ila kwa kuwa hajaweka tarakim
Kweli kabisa kiongozi.Hii inatokana na mafunzo aliyopata.Vidole viwili + vidole viwili = na vidole vinne.
Ukiangalia picha vizuri ndio utagundua mtoto amedesa kama ilivyo toka kwa rafiki zake. wamemuonesha vidole vinne naye amechora kama kiganja cha rafikiye kinavyoonekana. hapo ndipo nilipocheka yaani hakujiongeza kutafsiri kile anachooneshwa na wenzake kiwe kwenye tarakimu yeye akachora anavyoona.

Hapana wewe unajua
ndiyo najua ila limwalimu likubwa hivyo ningekimbia
umenikumbusha wakati nipo mtoto, si unajua usafiri wa vijijini ulikuwa ni baiskeli, siku moja nikaugua na wadogo zangu, zikatafutwa baiskeli zitupeleke wilayani kutibiwa, jamaa mmoja alikuwa mrefu balaa nikapangiwa anibebe, nilikataa kupanda baiskeli yake kisa mrefu sana.