MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 Nov 6, 2018 #1 Samahani naomba ama mwenye ndugu au anayesoma mwaka wa kwanza au miaka ya mbele anipatie mawasiliano yake nna shida nahitaji msaada. Mjomba wangu amepangiwa chuo kwa mwaka 2018/2019
Samahani naomba ama mwenye ndugu au anayesoma mwaka wa kwanza au miaka ya mbele anipatie mawasiliano yake nna shida nahitaji msaada. Mjomba wangu amepangiwa chuo kwa mwaka 2018/2019
Old - Hand JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 2,042 Reaction score 1,951 Aug 25, 2019 #3 Utaibiwa wewe.... Izo old school. Siku hizi mambo yoote mitandaon yapo...