Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Wakuu,naomba kujua top 10 best market places ambazo waweza lipa na paypal
1.eBay
Karibuni mm naijua moja tu
1.eBay
Karibuni mm naijua moja tu
Umessahau...MAMA YAKE... ebay......Amazon!
Umessahau...MAMA YAKE... ebay......Amazon!
Hii Amazo nimeingia lkn it seems like hipo complicated munjy1 nakutaka hapa na wazalendo wengine waliochangia pale kwenye thread ya eBay pale jf store..Lesson zenu zimenifanya kuwa buyer na seller mzuri wa eBay ..karibu na hapa basi
ok sorry f0lks hii Amazon kwa ku ship Bong0...ni problem.na mm imenishinda kujua wana ship to which places..may b wacheki...kwa contacts
AMAZON ni mtihani hauwezi kununua bongo, tafuta mtu UK ama US mwenye paypal umtumie pesa akununulie then akupostie yeye to TZ hiyo ndio njia ninayofanya mimi just nampa link ya ninachokitaka namtumia na pesa.Hii Amazo nimeingia lkn it seems like hipo complicated munjy1 nakutaka hapa na wazalendo wengine waliochangia pale kwenye thread ya eBay pale jf store..Lesson zenu zimenifanya kuwa buyer na seller mzuri wa eBay ..karibu na hapa basi
AMAZON ni mtihani hauwezi kununua bongo, tafuta mtu UK ama US mwenye paypal umtumie pesa akununulie then akupostie yeye to TZ hiyo ndio njia ninayofanya mimi just nampa link ya ninachokitaka namtumia na pesa.
Mbona mmesahau Alibaba.com? Hawa jamaa ni waaminifu na unapata bidhaa yako bila tatizo wana huduma ya Aliexpress ambayo ndio ina control issue za malipo. Wachek hawa utalipa kila kitu bongo na watakutumia mzigo wako kwa DHL au Fedex
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
pd mbona ipo hewani kitambo sana ila ni private kwa sana siku hizi si unajuwa kila mtu anapenda kuweka mambo hadharani na yeye aonekane hacker, by the way web nyengine China Wholesale Electronics-Buy Cheap Electronics Products From Chinese Online Shopping Stores - ahappydeal.com China Mobile Phones,Buy 3G Android Phone,Android For Cheap,Cheap Android Phones Wholesale - Buy China Wholesale Products from Chinese Wholesalers on DHgate.com hizi zote ziko poa sana na secure@munjy 1 ..nashukuru sana na mm itabidi nifanye hivo...lkn vp umepotea mda mrefu ..hope pd itafufuka ukitaka maujanja mapya ambayo umeyakosa mda mrefu nicheki
pd mbona ipo hewani kitambo sana ila ni private kwa sana siku hizi si unajuwa kila mtu anapenda kuweka mambo hadharani na yeye aonekane hacker, by the way web nyengine China Wholesale Electronics-Buy Cheap Electronics Products From Chinese Online Shopping Stores - ahappydeal.com China Mobile Phones,Buy 3G Android Phone,Android For Cheap,Cheap Android Phones Wholesale - Buy China Wholesale Products from Chinese Wholesalers on DHgate.com hizi zote ziko poa sana na secure