1HD FT Used Engine Ya Land Cruiser Inatafutwa

1HD FT Used Engine Ya Land Cruiser Inatafutwa

Money Bags

Senior Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
165
Reaction score
747
Kwema Wajumbe 😁

Husika na Kichwa Cha Habari,
Nina Land Cruiser GX 105 yenye engine ya 1HZ ipo poa nzima kabisa haina tatzo lolote ila nataka kufanya an upgrade niweke engine ya 1HD FT then ni install intercooler ili gari iwe more strong and efficient.

Hvyo natafuta used 1HD FT engine ya hapa hapa bongo kama ni overhaul nitafanya ili ikae fresh.

NB: Kuna 1HD T, 1 HD FT na 1HD FTE

Nayotaka mimi ni 1HD FT

Condition sio issue tutaelewana overhaul nitafanya mwenyewe.

Natanguliza shukrani, Mbarikiwe.
 
Back
Top Bottom