Mla rushwa nani, fisadi nani?, mwizi nani? Wakati hao watu wote uliowataja wapo huko kwenu na ndo chaka lao la kukimbilia.CCM KAMWE haiwezi kuonyesha umakini kwa kuendelea kuwakumbatia wahuni, mafisadi, wala rushwa, majangili, wizi, Bashite etc.
Mla rushwa nani, fisadi nani?, mwizi nani? Wakati hao watu wote uliowataja wapo huko kwenu na ndo chaka lao la kukimbilia.
Je utaweza kuyathibitisha haya maneno yako ukiwa mahakamani au ndio upayukaji wa usiyoyajua?CCM KAMWE haiwezi kuonyesha umakini kwa kuendelea kuwakumbatia wahuni, mafisadi, wala rushwa, majangili, wizi, Bashite etc.
Miezi michache tu iliyopita pale mtaa wa lumumba wamegawana rushwa ya milioni 10 kila mbunge ili wapitishe muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.
Wewe ulishazoeleka kwa unafiki wako. Huna jipyaCCM KAMWE haiwezi kuonyesha umakini kwa kuendelea kuwakumbatia wahuni, mafisadi, wala rushwa, majangili, wizi, Bashite etc.
Miezi michache tu iliyopita pale mtaa wa lumumba wamegawana rushwa ya milioni 10 kila mbunge ili wapitishe muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.
Wauza madawa ya kulevya na mafisadi wamejibanza chademaCCM KAMWE haiwezi kuonyesha umakini kwa kuendelea kuwakumbatia wahuni, mafisadi, wala rushwa, majangili, wizi, Bashite etc.
Miezi michache tu iliyopita pale mtaa wa lumumba wamegawana rushwa ya milioni 10 kila mbunge ili wapitishe muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.