kila jambo na wakati wake, it's just a matter of period, inatakiwa tuishi kwa wakati tulionao, ni upumbavu kutamani nyakati zisizo zetu, hata kama nyakati tulizo nazo ni mbaya, hatuwezi zibadilisha inatubidi twende nazo kihivyo. Muda ukifika zitaondoka na kuja nyakati nyingine na zaweza kuwa mbaya zaidi ya hizi au bora kulikoni hizi.