bubu hapa hukutaka kusema bali umeshasema teyari asante kwa article yako hii, sasa ni mwendo wa banana na avocado kwa kwenda mbele
Dah asante sna mie oats ndo mlo wangu wa asubuhi ndo maana mwili una mabadiliko sn :bored::bored::bored:
Dah thanx maria.....oats ndo nini na unaitumiaje please help na hiyo Asparagus inapatikana wapiDah asante sna mie oats ndo mlo wangu wa asubuhi Asparagus hii veg huwa naitumia sana karibia kila siku duh ndo maana mwili una mabadiliko sn :bored::bored::bored: