cyhper_kyrpton
Senior Member
- Jun 30, 2015
- 138
- 31
Mkuu unazingua, seemly kuna roho inakutumikisha bila ya wewe kujuaYesu hakusulubiwa, hajafariki, na wala hakuzikwa.
Galatians 3:1-321st Century King James Version (KJ21)
3 O foolish Galatians! Who hath bewitched you, that you should not obey the truth, before whose eyes Jesus Christ hath been clearly set forth, crucified among you?
2 This only would I learn of you: Did ye receive the Spirit by the works of the law, or by the hearing of faith?
3 Are ye so foolish? Having begun in the Spirit, are ye now made perfect by the flesh?
Bilblia inakuambia Yesu hakusulubiwa. Kwanini uamini Yesu kasulubiwa wakati Bilblia inakeambia hakusulubiwa???
Ni kweli. Lakini according to Bible yote hayo hayakutokea. Ushahidi upo kamili kwenye thread. Hivi vitu ni vizuri kuwa addressed kwani ni wajib kutafuta ukweli. Na imani lazima iwe na foundation ya ukweli isiyokuwa ya shaka.
kwa hiyo unataka tuamini haya maelezo ambayo yamekuja wakati yakiwa yamechelewa....??? Mimi binafsi nimeukana ukweli wako (UONGO kwa mtazamo wangu) na nakushauri usipoteze muda kukitetea usichokijua maana wenzako wa aina yako walishawahi kusema Yesu aliibiwa hakufufuka (labda ndio hao walioandika pia haya makaratasi yako)Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Sio kweli kwamba Biblia eg. NT imeandikwa karne ya 4 baada ya Yesu bali kuanzia mwaka 40 mpaka 90 AD.Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
World running hy symbols doesn't change the facts. The facts are in the Bible itself. The contradiction are in the Bible itself. What i have all said comes from the Bible. The analysis that Jesus was never cricified and so he was never ressurected. That message is clear.Mkuu unazingua, seemly kuna roho inakutumikisha bila ya wewe kujua
So instead of try to prove who crucified who, or who was crucufied
Ask yourself this questions has you know this world is running by symbols
1. What does crucifix symbolize if Jesus wasn't crucified?
2.Why is it that most of Lucifer's followers and even in their churches they use a crucifix which is upside down, what does that also symbolized?
3.What is the moon and star symbolized in all mosques?
And lastly why is it that many pagan and luciferians attacks christians only mostly and not muslims, why all attacks are to christians
"i will not say who because from 2017 everything will start to come to light"
Why are they so busy trying to create a war between Muslims and Christians
Ukipata majibu ya maswali hayo nadhani ndo utaanza fikiria sawa na sio kuandika vitu ambavyo ujui
During the Old Tastment time according to the Jewish religion people who were curses by God were Crusified. We cannot believe that Our Beloved Message of God was cursed by God. That is undegrading him and GOD as well. Clearly Crusifiction is false and fabrication in the Bible as the Bible was compiled and edited by unknown unauthentic scholars who had their own interest.Mkuu unazingua, seemly kuna roho inakutumikisha bila ya wewe kujua
So instead of try to prove who crucified who, or who was crucufied
Ask yourself this questions has you know this world is running by symbols
1. What does crucifix symbolize if Jesus wasn't crucified?
2.Why is it that most of Lucifer's followers and even in their churches they use a crucifix which is upside down, what does that also symbolized?
3.What is the moon and star symbolized in all mosques?
And lastly why is it that many pagan and luciferians attacks christians only mostly and not muslims, why all attacks are to christians
"i will not say who because from 2017 everything will start to come to light"
Why are they so busy trying to create a war between Muslims and Christians
Ukipata majibu ya maswali hayo nadhani ndo utaanza fikiria sawa na sio kuandika vitu ambavyo ujui
Hakika wewe ni askari usichoke.Sio kweli kwamba Biblia eg. NT imeandikwa karne ya 4 baada ya Yesu bali kuanzia mwaka 40 mpaka 90 AD.
Ikumbukwe kuwa uongo wa kukana kfufuka kwa Yesu ulianza na Wayahudi immidiately after resurrection ili kuthibiti kuenea kwa umaarufu wa Yesu usilete madhara zaidi ktk imani na utamaduni wao. Wakawa tayari kulipa fedha nyingi kutekeleza hilo.
Mathayo 28:13-14
[13]wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala.
[14]Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi.
[15]Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.
Hapa ndio chanzo cha kueneza kwamba Yesu hakufufuka.
Karne ya Pili vikaanza kuandikwa vitabu vijulikanavyo kama Pseudographa kati ya hivyo ni kile ambacho ile clip imekitaja waraka wa Barnabus. Hivi ni vitabu ambavyo havikuandikwa na wanafunzi wa Yesu bali wapinga Yesu.
Kati yao alikuwa Arian ambayo alikuwa ni Myahudi.
Baada ya miaka 600 tangu kizaliwa Yesu Uislam nao ukakumbatia uongo huo.
Kwa hiyo Roho ileile ya mpinga Kristo is at work. Ukijua historia io na ukajumlisha na experience ya mguso wa Yesu ktk maisha yako ya kila siku wala hutababaika na mbwembwe zozote. Ukristo ni Yesu kuwa hai ndani yako sasa na hapo ulipo. Ni kuona matokeo yake sasa ktk nafsi.
Na ndio maana Yesu aliyeswa ili unabii wa agano la kale utimie.....sema shida yako wewe una soma bibble kimihemko ili utafute makosa na si kuelewa matukioHapo ndipo munapochanganywa na hao walicompile hiyo Biblia. Wamebadilisha maana na kuongeza maneno yao kuwachanganya.
Kama Biblia imeshakuambia kuwa Yesu hajasulubiwa na ameenda kwa Mungu kwa hiyo huyo Yesu amekufaje hata afufuke??
Jambo la pili kutokana na mafundisho ya Wayahudi kusulubiwa ni Kulaaniwa, je kama kasulubiwa kama unavyoamini basi inamaanisha Yesu kalaaniwa?? Mbona munajichanganya bila kujielewa.
Deuteronomy 21:22-23
22 Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti;
23 mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.
Kweli munaaminishwa Mungu atamlaani Mjumbe wake? Na atamwacha Mjumbe wake aliyemtuma adhalilike?? Muna underestimate uwezo wa Mungu???
Mkuuu mbona unalazimisha Allah wenu ajipenyeze kwenye Imani ya kikristo au Uyahudi wakati hatumtambui......mbona sisi wakristo hatulazimishi JEHOVAH ajipenyeze kwny Imani yenu.......Kitabu alicholeta Jesus kinaitwa INJILI, sio Bible. Injili ipo katika Lugha moja tu, ni kiyahudi. Hakuna Lugha Nyingine zaidi ya kiyahudi, isipokuwa imetafsiriwa kwa Lugha zingine tofauti kama Kiingireza, Kijerumani, Kiswahili etc. Kwahiyo usitake kutumia Lugha ya kumkashifu Mungu wa waislamu ambaye ndio Mungu wa babu yetu Adam na Yesu na Mungu wetu sote. Kwani Mungu anaweza kukuwajibisha kwa kauli zako na akakupa adhabu kubwa hapo hapo ulipo. Kuwa makini unavyo mu address Mola wa ulimwengu.
Kuoa na kuwa na watoto sio kashfa Ila kwahuyo Muhammad wenu alidhidisha umalaya maana alioa hadi katoto ka miaka 9....Hivyo kuoa na kuwa na watoto ni kashfa?? Wajumbe wote wa mwenyezi Mungu wameoa na wamekuwa na watoto. Kama kuoa na kuwa na watoto ni kitu kibaya basi wasingeoa na pia na sisi tusingezaliwa na ulimwengu pia usingekuwepo. Haifai kukashif dini yoyote ile. Lakini kuoa sio kashfa.
Lete uthibitisho wa maandishiAnaitwa Bilal(Radhi za Mola Zimfikie). Awali Alikuwa mtumwa. Wakati alipokuwa akiteswa kwa kumuamini Mtume, basi Mtume aliposikia kuwa anateswa akamnunua kutoka kwa wamiliki wake kwa thamani kubwa ambao waislamu waliokuwa wachache wakati huo walitoa. Na baada ya hapo Bilal kuachiwa huru na hatimaye Bilall akawa ni kati ya wafuasi wakubwa wa Mtume na ametukuzwa kwa sifa nyingi. Bilal ni mtu wa kwanza kuadhini. Adhana unazozisikia misikitini waislamu wanapoitana kuswali ilianzia kwa Bilal.
Yesu alikuja kabla ya Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie). Kwa hiyo Injili haiwezi ikazungumzia maisha ya Muhammed(rehma na amani zimfikie) kwani alikuwa bado hajaletwa duniani. Isipokuwa Yesu alisema kuwa Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie) atakuja badala ya yeye kuondoka. Soma John 16:7kwa hiyo unataka tuamini haya maelezo ambayo yamekuja wakati yakiwa yamechelewa....??? Mimi binafsi nimeukana ukweli wako (UONGO kwa mtazamo wangu) na nakushauri usipoteze muda kukitetea usichokijua maana wenzako wa aina yako walishawahi kusema Yesu aliibiwa hakufufuka (labda ndio hao walioandika pia haya makaratasi yako)
Mt 28:11-15 "...Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, WAKAMWIBA, sisi tulipokuwa tumelala..." na mathalani Biblia yako hii inatabiri uislamu nikukumbushe tu kwamba hakuna popote kwenye Biblia ambapo Mungu wa Biblia amewahi kuuongelea uislamu hata kwa nukta tu ila ni uislamu tu ndiyo umejipendekeza sana kunukuu Biblia (na ndivyo ilivyo) ili uonekane na wenyewe upo!!!! (UKRISTO NA KRISTO YESU MWENYEWE ANAJITOSHELEZA WALA HAPIGANIWI KAMA 'HALLA' anavyopiganiwa)
na kushinda kwa YESU Kristo si haya makaratasi uliyoyaleta ila ni NGUVU YAKE ILETAYO WOKOVU KWA MATAIFA YOTE.
Sijui unayatafsiri vp haya maandiko? Mbn hyo context imekaa vizuri tu na inaeleweka!Unaamini Uzushi tu. Hata Biblia inakuambia.
1 Corinthians 15:14-19
14 tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure.
15 Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
16 Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka.
17 Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu.
18 Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
19 Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
Tafakari na utafute ukweli wa Imani yako.
Nimetuma comments nyingi sana kuhusiana na Crucifiction, Kufa na kufufuka kwa Yesu. Inaonekana hukusoma ushahidi na vipengele nilivyotuma.Sio kweli kwamba Biblia eg. NT imeandikwa karne ya 4 baada ya Yesu bali kuanzia mwaka 40 mpaka 90 AD.
Ikumbukwe kuwa uongo wa kukana kfufuka kwa Yesu ulianza na Wayahudi immidiately after resurrection ili kuthibiti kuenea kwa umaarufu wa Yesu usilete madhara zaidi ktk imani na utamaduni wao. Wakawa tayari kulipa fedha nyingi kutekeleza hilo.
Mathayo 28:13-14
[13]wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala.
[14]Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi.
[15]Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.
Hapa ndio chanzo cha kueneza kwamba Yesu hakufufuka.
Karne ya Pili vikaanza kuandikwa vitabu vijulikanavyo kama Pseudographa kati ya hivyo ni kile ambacho ile clip imekitaja waraka wa Barnabus. Hivi ni vitabu ambavyo havikuandikwa na wanafunzi wa Yesu bali wapinga Yesu.
Kati yao alikuwa Arian ambayo alikuwa ni Myahudi.
Baada ya miaka 600 tangu kizaliwa Yesu Uislam nao ukakumbatia uongo huo.
Kwa hiyo Roho ileile ya mpinga Kristo is at work. Ukijua historia io na ukajumlisha na experience ya mguso wa Yesu ktk maisha yako ya kila siku wala hutababaika na mbwembwe zozote. Ukristo ni Yesu kuwa hai ndani yako sasa na hapo ulipo. Ni kuona matokeo yake sasa ktk nafsi.
Good!Hii mistari yote uliyoandika hapa ujumbe wake ni huu, Ukristo usingekuwa na maana yeyote bila ya Yesu kufufuka. Kitu kinacho utofautisha ukristo na wengine ni kile kitendo cha Bwana Yesu kufufuka.
Nipe muda nitakuletea mistari ya Biblia ikionesha askari waliolinda kaburi la Yesu na wakakutana na mshikemshike wa Yesu kufufuka, na baadaye kupewa fedha ili kueneza uongo kwamba Yesu hakufufuka bali wanafunzi wake waliuiaba mwili wake pale kaburi. Mpaka leo hii huo uongo uko na unaenezwa na wayahudi. Hiyo Biblia itakuwa imetengenezwa na hao wanaoeneza huu uongo.
Hata kwa mfano ni kisikia BigBros umevuta kitu kidogo kuleta hili bandiko hapa, wala sitashangaa maana hutakuwa wa kwanza,wenzako walizila fedha hizi miaka 2000 iliyopita.
Na washawasha!
Sasa kama unakubali alipaishwa kwa Mungu basi hakuwa Crucified. Suala linakuja ni nani aliyekuwa Crufied badala yake??Na ndio maana Yesu aliyeswa ili unabii wa agano la kale utimie.....sema shida yako wewe una soma bibble kimihemko ili utafute makosa na si kuelewa matukio
asili ya Bilal kama kitabu cha mtume muhamad kinavyosema..!!but sure mkiachana na ujinga wote wakuwatukuza hao weupe mtajua kweli yenu nyie wakristo fake na waisilamu vifuata upepoAnaitwa Bilal(Radhi za Mola Zimfikie). Awali Alikuwa mtumwa. Wakati alipokuwa akiteswa kwa kumuamini Mtume, basi Mtume aliposikia kuwa anateswa akamnunua kutoka kwa wamiliki wake kwa thamani kubwa ambao waislamu waliokuwa wachache wakati huo walitoa. Na baada ya hapo Bilal kuachiwa huru na hatimaye Bilall akawa ni kati ya wafuasi wakubwa wa Mtume na ametukuzwa kwa sifa nyingi. Bilal ni mtu wa kwanza kuadhini. Adhana unazozisikia misikitini waislamu wanapoitana kuswali ilianzia kwa Bilal.