Kwa hiyo kwa kusema kauli hii unakubali kwamba yesu ni mwana wa mungu na unaamini maneno yake... Kama ndivyo basi Uislamu ni tawi la ukristo, zote ni kitu kimoja kuanzia leo ingia kanisani usali muda wowote utakaojisikia nami pia nitaingia msikitini kuswali maana sote ni watoto wa baba mmoja... Amani iwe naweUkweli utaupata kwenye Quran kama Yesu alivyokuambia;
John 16:7
Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu.
John 15:26
Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia.
Huyo msaidizi ni Mtume Muhammed(Rehma na amani zimfikie). Katika Biblia ya Hebrew ametajwa kwa Jina la Ahmed ambayo kwa kiarabu ni maana sawa na Mohammed. Sasa kama Yesu amekuambia umfuate Muhammed ndiyo mtume aliyekuja baada yake vipi wewe unasitasita? Inamaana haufuati maagizo ya Yesu. Utafute ukweli upate kujikomboa kiimani.
acha uongo mkuu,Inawezekana ni kweli kabisa nje ya biblia ni mwandishi mmoja tu wa kale ndio amemtaja Yesu tena naye alikua haaminiki. Ukiangalia mwandishi kama Philo huyu alikua kabila moja na Yesu tena mwandishi mashuhuri kabisa aliishi kerne ya kwanza baada ya yesu hajawahi mtaja popote katika vitabu vyake. kuna mwandishi mwingine mashuhuri anaitwa Josephas na wengine kibao hawajawi kutaja Kuhusu Yesu.
Hivi ilikuwa vipi yesu alitabiri ujio wa mtume Mohammed kupitia biblia lakini mtume mohammed mwenyewe akaja kuipinga Biblia na kusema uislamu ndiyo dini ya kweli hakuna dini nyingine... Alimkana Yesu kristo ambaye ilibidi aje kumpokea? Ningependa uniwekee sawa hapo mkuu nipate kuelewa zaidiUkweli utaupata kwenye Quran kama Yesu alivyokuambia;
John 16:7
Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu.
John 15:26
Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia.
Huyo msaidizi ni Mtume Muhammed(Rehma na amani zimfikie). Katika Biblia ya Hebrew ametajwa kwa Jina la Ahmed ambayo kwa kiarabu ni maana sawa na Mohammed. Sasa kama Yesu amekuambia umfuate Muhammed ndiyo mtume aliyekuja baada yake vipi wewe unasitasita? Inamaana haufuati maagizo ya Yesu. Utafute ukweli upate kujikomboa kiimani.
Huo ndio uzushi wenyewe. Hayo maneno ya kupandikizwa. Akili kichwani mwako. Maneno ya Mungu hayawezi kugongana. Huku aseme hivi kule asema kinyume cha alivyosema mwanzo. Mungu ameshasema kuwa kila mtu anabeba dhambi zake, hiyo tosha kabisa. Sasa itakuwaje tena Isaya aseme ya kuwa Yesu abebe dhambi zenu tofauti na maagizo ya Mungu. Hiyo ni fabrication.ISAYA anasema '' TAZAMA MWANA KONDOO WA MUNGU , AICHUKUAE DHAMBI YA ULIMWENGU "
hapa kondoo ni lugha ya Picha anasemwa KRISTO HAPA.
Unaruhusiwa kui challenge Quran. Sheria inakuruhusu. Yaani Mungu amekuruhusu kuichallenge Quran. Amesema isome kicha leta contradiction ndani yake utakayoiona. Au tengeneza kitabu kingine kama hicho kama munaweza. Kwa hiyo NO DOUBT Quran it's absolute.MBILI MARA MBILI....????
LOG 10 BASE 10.......???
Nayo haya yapo....???
kweli inekamilika
Nipe ushahidi ni wapi ninaposema uongo? Hayo ni maneno ya Bible. Sio yangu.Uongo mtupu acha kuchakachua neno la mungu.
Ila kweli mkuu, maana hakuna starehe tamu kama hiyoJe kama ni kweli hutataka raha za peponi?? Hayo ni maisha ya milele kaka. Usipoteze kwa ajili ya maisha haya mafupi mno na yasiyokuwa na furaha yoyote. Tafuta ukweli ndani ya imani yako. Na wala usione aibu.
upi mkuu ni vizuri ukawa specific.acha uongo mkuu,
Ni kweli mkuu, Ila kwa upande wa majini hapana aseee, bora niangamie Moroni tuNi kweli ISLAM haikuwacha kitu, imekamilika kwa kila namna. Ndio maana sisi waislamu tupo confident na imani yetu. Uliza chochote utajibiwa kwa taaluma na vielelezo vya kila aina na utaelewa tu kwa sababu kila kitu kipo straight foraward. Hakuna kona kona. Ni dini pekee unayoweza pata Degree, Master, PHD na Professor. Elimu yake ni kama Bahari.
Huo ndio uzushi wenyewe. Hayo maneno ya kupandikizwa. Akili kichwani mwako. Maneno ya Mungu hayawezi kugongana. Huku aseme hivi kule asema kinyume cha alivyosema mwanzo. Mungu ameshasema kuwa kila mtu anabeba dhambi zake, hiyo tosha kabisa. Sasa itakuwaje tena Isaya aseme ya kuwa Yesu abebe dhambi zenu tofauti na maagizo ya Mungu. Hiyo ni fabrication.
he was crusifised, he died and after 3 days risen among ded,
ALISULUBIWA
AKAFA
AKAZIKWA
SIKU YA 3 AKAFUFUKA kati ya WAFU..
HII NI AMINA NA KWELI.
Ptuuuuuuuuuuuuuuuu naona umeamua kumvisha maneno YESU KRISTO sasa......Hapo alimaanisha ROHO MTAKATIFU mkuu.......alafu hebu lete mistari ya hio biblia ya Kiebrania kama hilo jina Ahmed lipo...ingawaje najua hutanipa mstari, utaendelea kuongea ngonjera zakoUkweli utaupata kwenye Quran kama Yesu alivyokuambia;
John 16:7
Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu.
John 15:26
Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia.
Huyo msaidizi ni Mtume Muhammed(Rehma na amani zimfikie). Katika Biblia ya Hebrew ametajwa kwa Jina la Ahmed ambayo kwa kiarabu ni maana sawa na Mohammed. Sasa kama Yesu amekuambia umfuate Muhammed ndiyo mtume aliyekuja baada yake vipi wewe unasitasita? Inamaana haufuati maagizo ya Yesu. Utafute ukweli upate kujikomboa kiimani.
Umeandika nini mkuu??? Hahahahaha daaaahYESU jamani ,akiwa anauingia mji wa Galilaya , watu wa ule mji, yaani wale wakuu wa miji kipindi kile (kwa kipindi hiki ndo wakina MAKONDA)wakamwambia YESU
waambie wanafunzi wako wasipige kelele, YESU akawajibu akisema, ikiwa hawa watanyamaza , hata mawe yatapaza Sauti....
unaweza ukaona waKristo wameacha kumsema YESU wao, Ona sasa MAWE yanapaza sauti jamani....
YESU MZURI jamani, et...???
Hilo swali nikuulize wewe unayeamini kuwa Yesu amesulubiwa. Kwanini iwe damu ya Yesu na isiwe ya Kondoo kama Mitume mengine??Wewe unaye elewa hiyo lugha si umeona matokea yake ya kuulizana na kujibizana wenyewe. Zaidi ya nusu ya posts unajielezea mwenyewe. Kwa nini kwa Yesu damu ikawa ya mwanadamu?
Na washawsha!
Lugha za watu hizo jamani, si ungeandika Kiswahili tu.
Ila mm nashukuru sana Waislamu mnaisoma biblia, najua pia huwa mnahubiriana huko misikitini kwenu...ingawaje Majini huwa hayapendi kusikia habari za bibliaHilo swali nikuulize wewe unayeamini kuwa Yesu amesulubiwa. Kwanini iwe damu ya Yesu na isiwe ya Kondoo kama Mitume mengine??
Na kama Deuteronomy 15:27 and Psalm 49:7-8 zinasema kuwa kila mmoja atabeba dhambi zake sasa Yesu kasulubiwa kwa sababu gani??
EVIDENCE IN THE BIBLE THAT GOD HEARD JESUS’ PRAYER TO BE SAVED FROM THE CROSS:
“My soul is exceeding sorrowful, even unto death: tarry ye here, and watch with me. And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, saying, ‘O my God, if it be possible, let this cup (death) pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt.” [Matthew 26:38-39]
“And being in anguish, he prayed more earnestly, and his sweat was like drops of blood falling to the ground.” [Luke 22:44]
“(Jesus), Who in the days of his flesh, when he had offered up prayers and supplications with strong crying and tears unto Him (God) that was able to save him from death, and was heard (answered) in that he feared.” [Hebrews 5:7]
“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]
“For the Scriptures say, ‘He will order his angels to protect and guard you. And they will hold you up with their hands so you won’t even hurt your foot on a stone.’” [Luke 4:10-11]
“For he shall give his angels charge over thee, to keep thee in all thy ways. They shall bear thee up in their hands, lest thou dash thy foot against a stone. Thou shalt tread upon the lion and adder: the young lion and the dragon shalt thou trample under feet. Because he hath set his love upon me, therefore will I deliver him: I will set him on high, because he hath known my name: He shall call upon me, and I will answer him: I will be with him in trouble; I will deliver him, and honor him. With long life will I satisfy him, and show him my salvation.” [Psalm 91:11-16]
There is no question that the emphasized parts above, especially in Psalm 91:11-16 and others, clearly and indisputably agree with the Qur’an and Isaiah 52:13! Jesus was neither crucified nor resurrected, and he was protected and lifted by GOD. Also, the New Testament, again, confirms that Psalm 91 is referring to Jesus.
A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).
B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).
C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).
D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).
E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).
F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.
G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13). No way would these verses be valid if Christ got crucified.
Hilo swali nikuulize wewe unayeamini kuwa Yesu amesulubiwa. Kwanini iwe damu ya Yesu na isiwe ya Kondoo kama Mitume mengine??

Hapo nashidwa kukubaliana na wewe kaka. Yeye Mungu mwenyewe kasema aliyekuwa crucified is cursed. Hiyo ni very straight forward statement. Sasa iweje Mjumbe wake kipenzi afanywe hivyo na yeye yupo?? Ndio maana hii issue ya Crucifiction tunasema ni uzushi.Ku underestimate uwezo wa Mungu ni kufikiria uwezo wake kwa akili za kibinadamu kwamba uwezo wake una mipaka kwa maana nyingine kufikiria ana uwezo wa kufanya hili na akashindwa lile.
Mambo mengi yatatokea ili neno lake litimie kwa msingi huo basi sio lazima kutundikwa msalabani ina maana ya kulaaniwa isipokuwa kwa akili za mafarisayo na neno la Mungu litimie.
Kwa tafsiri ya Biblia sisi wanaadamu wote ni wana wa Mungu. Lakini haina maana katuzaa. Ila nyinyi mumeibadilisha tafsiri na kuifanya Mwana wa Mungu kama vile mtoto aliyezaliwa na Mungu.Kwa hiyo kwa kusema kauli hii unakubali kwamba yesu ni mwana wa mungu na unaamini maneno yake... Kama ndivyo basi Uislamu ni tawi la ukristo, zote ni kitu kimoja kuanzia leo ingia kanisani usali muda wowote utakaojisikia nami pia nitaingia msikitini kuswali maana sote ni watoto wa baba mmoja... Amani iwe nawe
Wanampenda ila ndo hivyo wanadiss kiaina....Umeandika nini mkuu??? Hahahahaha daaaah