Megapixels zikishazidi 8-10 hazina umuhimu unless unataka kuprint picha zako kwa size kubwa, kwa mfano 12 Megapixels unaweza kuprint picha ya approx size 40 cm X 60 cm at full quality, pia kama unataka kuzoom in kwenye hizo picha kwa sababu yoyote. Angalia
How megapixels affect photo print size . Pia Megapixels zaidi zinakula space zaidi so utafit picha chache zaidi kwenye SD card.
Quality ya camera inategemea vitu vingi sana ikiwemo lenzi, CMOS sensor size, software inayofanya processing ndani ya camera, etc, Megapixel ni almost useless kwa kufananisha camera, na hautaweza kujua mpaka uone picha zake.
Nakushauri uzitafute hizo kamera mbili online kwa model namba kisha angalia samples za picha inazopiga na reviews kwa ujumla uone quality ya kila kamera.