mkuu ANKOJEI... nashukuru kwa courage yako...tupo pamoja kwani ndiyo nipo kwenye early stages za ku brainstorm ili nianze mchakato mzima wa project including kuandaa business plan..kikubwa ni kwamba kwa eneo nililonalo la eka 14 na maeneo yanayozunguka sehemu hii wengi wana mashamba ya aka tatu , mbili ...yaani madogo madogo... kwa hiyo nikiweza kufanikiwa basi eneo lote la ukanda huo litakuwa ni horticultural hub.... na uwezekano wa ku explore joint market kama core business utakua mkubwa
asante na tutaendelea kupeana updates[/QUOTEWa

asante na tutaendelea kupeana updates