1k=1000? How? Wat 1000 stands for?
umechanganya madesa kidogo.
kifupi:
k Imetoholewa kutoka hesabu za ki itifaki za ki kompyuta kompyuta..
bits
bytes
kilobytes
megabytes
gigabytes
terabytes
sasa wanaposema k wanamaanisha kilo...(kutoka kilobytes),
ambapo ni wastani wa takribani 1000 bytes..(halisi ni 1024 bytes)..
ndy maana Y2K ni Year 2000....
Hivi huwa kuna tatizo kumjibu mtu pasipo kumsimanga,Au kuna watu wanajua kila kitu humu duniani?Mara una elimu gani mara ulikimbia hesabu...yote ya nini,toajibu kaa kimya.
Kwani lazima wote tusome mathematics? Elimu imegawanyika bana.
k = kilo (yaani mara elfu moja)
1k = 1000
100k = 100,000
Mkuu, elimu yako ni ya kiwango gani (msingi au sekondari)?
Hiyo ni namna ambayo hutumika kama vifupisho kupunguza idadi ya sifuri (katika namba).
Mfano mwingine ni 1m = 1,000,000 au 1b = 1,000,000,000
Kama ni ngumu kumeze we elewa tu hivyo hivyo.., 100K ni sawa na laki moja.
Pia 1L = 1000 mL (Hii ni kitu ingine kabisa). Hivyo L haiwezi ikamaanisha laki!
umechanganya madesa kidogo.
kifupi:
k Imetoholewa kutoka hesabu za ki itifaki za ki kompyuta kompyuta..
bits
bytes
kilobytes
megabytes
gigabytes
terabytes
sasa wanaposema k wanamaanisha kilo...(kutoka kilobytes),
ambapo ni wastani wa takribani 1000 bytes..(halisi ni 1024 bytes)..
ndy maana Y2K ni Year 2000....
Hebu niambie, kuanzia darasa la kwanza hadi hilo la 12 ulilosema je ni darasa la ngapi kwenye somo la hisabati zinafundishwa hizo bits, bytes, kilobytes, megabytes, gigabytes, terabytes, sijui 300k, 250k...na ndomana mchangiaji mada mmoja akasema hiyo ni field nyingine kabisa ya kikompyuta...ushanielewa sasa?Hesabu ni lazima pia ni basic kama basic needs za maisha kwa mwanafunzi mpaka darasa la 12 jAmani tusidanganye labda msime fizikia kemia na history. Kama haukusoma ila ulifanya mtihani wake wa Taifa la saba na kumi na mbili.
Kubali tu ilikupita kushoto hakuna shida ni kweli sio lazima wote tuwe na kipaji kimoja kuna mgawanyiko mkubwa wa majukumu na vipaji ili
Hebu niambie, kuanzia darasa la kwanza hadi hilo la 12 ulilosema je ni darasa la ngapi kwenye somo la hisabati zinafundishwa hizo bits, bytes, kilobytes, megabytes, gigabytes, terabytes, sijui 300k, 250k...na ndomana mchangiaji mada mmoja akasema hiyo ni field nyingine kabisa ya kikompyuta...ushanielewa sasa?
Kwa maana hiyo 1,000,000 ni sawa nikisema 1kk au sio?
Hivi huwa kuna tatizo kumjibu mtu pasipo kumsimanga,Au kuna watu wanajua kila kitu humu duniani?Mara una elimu gani mara ulikimbia hesabu...yote ya nini,toajibu kaa kimya.