10 za maangamizi East African Radio ulimkubali sana

Kuna kipindi E.Africa Radio kumi za maangamizi,ni free style kwa dk 10.
Unaweza kusema hip hop au freeystyle ipo underground siyo kwa hawa wasanii waliotoka .Clips za hiyo kipindi vipo YouTube .Hii ni list yangu ya waliotisha.
1.Cado Kitendo.
2.Hidary Scoda
3.Chid Benz
4.Boshoo Ninja
5.Maarifa The Big Thinker

Kama umefuatilia hiki kipindi sijui Nani umemkubali

MAWAZO YA WADAU WA HIP HOP KWENYE COMENTS
1 .Nyenza
2.Boshoo Tanga boy.
3.Mbeya boy Chuma
Maarifa alitisha sana kwangu mimi
 
Chaku cheeeree
Nikisema raf unasema mc raf mc raf...
Hii siyo classic ya wasafi, msosi mezani hii ndio classic ya walafi/
Chap cheree..Uchebe nachaga,,,hahaha nakinukisha nakivukisha...noma kichizi zile flow zinaitwa 'Usinishike'
 
Chap cheree..Uchebe nachaga,,,hahaha nakinukisha nakivukisha...noma kichizi zile flow zinaitwa 'Usinishike'
Aaaah chekiiiiiii....Mimi namba1 yeye ndo aliua then namba2 ni Chuma Mbeya boy alaf namba3 ni Boshoo Ninja,Namba4 ni Bando MC toka Shytownenga,..alaf waliodevela ki'whack ni Young Dee,Fid Q na Young Killer,
 
Bosho ninja aliumiza kinouma...."uwezo ni sifa na kazi haiendi bila nyenzo, rap hisabati nakokotoa napiga banda, boshoo mjerumani napiga 7"...anapiga back vocal...nawavunja mifupa wakalazwe moi....
Aise ni noma na nusu
 
1. Kado kitengo
2. Nyenza
3. Maarifa
4. Chuma boy mbeya
5. Wakiafrika


Hao ndio mc sasa
 
P THE MC nae alitisha sana,wengi niliwaelewa kuna kipind nilkuwa nmezdownload nying
 
Duuuh hapa nimetoka kapa aseee nitarudi baadae nikishapitia youtube. Maana hapa naweza toa pumba tupu.
 
Fair to mention T-GWAN the dirty south kid alifanya fresh sana na hebu pitia kucheki bila kusahau boshoo dizasta vina chuma mbeya boy
 
Back
Top Bottom