10 secrets of marriage

Hahahahaaa....eti usukununu... Jamani watu wana tujimaneno...
 
Uko sahihi, lakini historia kama ipo huwezi kuipuuza. Hakuna mkamilifu, hakuna extents tu ndio huws tofauti.
 
Sasa ndo uanze kabisa kumuuliza enhee umetembea na wanaume wangap? Tehe,akikwambia 20 si utakimbia,akikwambia alishawahi kua changudoa si utamblock wewe,haya akwambie alikua mwizi,mvuta bangi na mengine mabaya utamtaka?
Hahahaaaaa utakimbia. Hata huvyo ukishajikita kumchimba sana mtu ujue hujampenda bado. Kuna mambo madogo madogo tu utayajua na hutahitaji hata kumhoji, mchumba mzuri kwa uzoefu wangu huwa anakuwa mwazi na utsmuona anajutia mambo mabaya aliyilopitia na utaona kabisa kuwa kabadilika na unaweza kumuoa kwa kumhurumia( sympathy)
 
Hapo mkuu ni kusameheana tu na kuendelea na maisha maana tayari ndoa ishabarikiwa unaweza sema umwache halafu ukaja ukapata mwenye historia hiyo na taarifa zake ukazipata tayri ushaoa tena utaacha wangapi ?
Hahahahaaaaa.....kipindi kizuri ni kuhakikisha unamjua huyo unayetaja kumuoa/ kuewa naye kana vipi uamue kujilipua mwenyewe. Mkisha oana huwa inakuwa ngumu, then ushauri wako una maana sana. Usifukue makaburi!
 
Fact kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…