10 secrets of marriage

satong no. 6 inaonekana kama vile marriage ni kifo au gereza, so what does it worthy, are you still advising me to marry/ get married??

Namba sita inatisha. Kama ni hivyo kuoa/ kuolewa soyo starehe tena, mnatutisha.
 
Maelezo yako ni mazuri lakn hapo namba mbili kinachozungumzwa ni kwa mke wako ambae umemuoa yaan kwa vyoyote vile historia yake haiwez kuwa clean na km umeshamuoa hakuna sababu ya kufukua makaburi.....Na ulichokiandika kinafaa kifanyike kwenye courtship sio marriage.
 
Satong no. 6 inaonekana kama vile marriage ni kifo au gereza, so what does it worthy, are you still advising me to marry/ get married??

Namba sita inatisha. Kama ni hivyo kuoa/ kuolewa soyo starehe tena, mnatutisha.
Kwa kifupi ukioa au kuolewa hupasw kujisahau sana mfano km mapenz wako ulikuwa unampigia simu mara 3 kwa siku ukishamuoa usiache kufanya hvo etc
 
Hiyo namba mbili si kirahisi hivyo "focus on the present and the future"... Hii inahitaji umakini sana.
Hutakiwi kujaji au kufatilia sana historia ya nyuma,unaweza ukavunja ndoa/mahusiano,wengi historia zetu za nyuma sio nzuri kuhadithia
 
Kwa kifupi ukioa au kuolewa hupasw kujisahau sana mfano km mapenz wako ulikuwa unampigia simu mara 3 kwa siku ukishamuoa usiache kufanya hvo etc
Mbona huwa zinapungua na life linasonga?
 
Hutakiwi kujaji au kufatilia sana historia ya nyuma,unaweza ukavunja ndoa/mahusiano,wengi historia zetu za nyuma sio nzuri kuhadithia
Kwakweli mimi siko tayari kuoa mty nisiyejua historia yake bora hata iwe ya uongo lakini niiue, ndio maana ndoa nyingi zina changamoto sana maana watu hawajuani.
History has big implications in your life, a serious spouse can not ignore it, unless there is something one is trying to hide, and why should you hide, for what purpose? Sema weakness zako ili tupate kucomplement najua mtu kama unamoensa huwezi kumwacha kwa sababu ndogondogo za history mbaya unless the history is too devastating.
 
Hutakiwi kujaji au kufatilia sana historia ya nyuma,unaweza ukavunja ndoa/mahusiano,wengi historia zetu za nyuma sio nzuri kuhadithia
Watu wengi sana wanajificha hapa kwenye neno" kujaji".

Mfano kijana anapojihusisha na madawa ya kulevya, uzinzi, na michezo yote hatarishi ktk maisha yake, ukiwa kama rafiki ukamshauri vizuri atakuona wewe ni.mshamba, huna pesa za kula bata ndio mana unamuonea wivu na maneno kibao ya kukashifu, baada ya muda majanga yanamkuta kama ajali, Ukimwi etc, ukimwamvia mkuu nilisema acha mambo hayo utajibiwa" who are you to judge?

Hahahaa huwa nacheka sana, mchuma janga siku hizi
Asante sana mkuu uko sahihi kabisa nadhani hata mimi siko clean, nikishamuoa/ olewa basi maana yake hiyo kazi ushaifanya na ukaridhika naye.

Tuseme kwa bahati tu some informations zikawa revealed na wala hujazifukua from somewhere au sponteneously tu zikawa revealed?
Mfano hakusema ukweli kama anamtoto au aliwahi kuolewa, au alikudanganya umri utafanyaje?
 
Hapo mkuu ni kusameheana tu na kuendelea na maisha maana tayari ndoa ishabarikiwa unaweza sema umwache halafu ukaja ukapata mwenye historia hiyo na taarifa zake ukazipata tayri ushaoa tena utaacha wangapi ?
 
Every marriage has a price to pay. Marriage is like a bank account. It is the money that you deposit that you withdraw. If you don't deposit love, peace and care into your marriage, you are not a candidate for a blissful home..... Its a very beautiful conclusion....!!!
 
Sasa ndo uanze kabisa kumuuliza enhee umetembea na wanaume wangap? Tehe,akikwambia 20 si utakimbia,akikwambia alishawahi kua changudoa si utamblock wewe,haya akwambie alikua mwizi,mvuta bangi na mengine mabaya utamtaka?
 
Iko hiv,inawezekana hii kujudge tunaitumia vbay,kinachoongelewa hapo ni kutaka usukununu na utomaso wa kutaka kujua historia ya nyuma ya mpnz au mwanandoa mtarajiwa,let say,wewe una bby wako unataka kumuoa,sasa uko bize kumchunguza mambo yake ya nyuma kuliko mambo yake ya sasa,au kufatlia itakuaje future yenu huko mbele,yan unakua tomaso wa kutaka kujua huyu mtu huko nyuma alikua anafanya nini,sasa ukishajua kua nyuma alikua muovu lazima utamkwepa bila kujua hayo ni yalishapita na huenda alishayaacha akabadilika akaanza maisha mapya kabisa na tabia mpya ambazo ndo hizo umemkuta nazo.

Ndo mana wanakwambia usifatlie sana historia ya mtu ya nyuma "everyone has a dark history,no one is an angel.



[HASHTAG]#DuhNdoNimeandikaPoteHapo[/HASHTAG]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…