Nchi gani hiyo Mkuu. I mean jina la ilo duka... Ilo duka lipo nchi gani!Hawa wala siwashangai maana kwa jinsi wanavyopenda kukaa uchi hilo ni la kawaida kwao.Juzikati hapa kuna duka limetoa winter offer kwa yeyote atakayeweza kwenda dukani bila nguo hata moja basi atavalia dukani kuanzia underwear na chochote atakachopenda,na kweli walijitokeza wake kwa waume wakaondoka na viwalo vya nguvu.
Nchi gani hiyo Mkuu. I mean jina la ilo duka... Ilo duka lipo nchi gani!
Nimeshapata jibu...!
Nchi gani hiyo Mkuu. I mean jina la ilo duka... Ilo duka lipo nchi gani!