M Mjasiriamali1 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2009 Posts 891 Reaction score 240 Mar 16, 2012 #1 Mtakubaliana na mm. Kuna tofaut kati ya kuona na kutumia. Kwa watumiaj wa magar madogo plz nishaurini wakuu wa jukwaa gar lipi ninunue? Ambayo haisumbuwi upatikanajii wa spare part. Ukubwa ingin 2cc zisizidi. Nina 10 million.
Mtakubaliana na mm. Kuna tofaut kati ya kuona na kutumia. Kwa watumiaj wa magar madogo plz nishaurini wakuu wa jukwaa gar lipi ninunue? Ambayo haisumbuwi upatikanajii wa spare part. Ukubwa ingin 2cc zisizidi. Nina 10 million.
S sithole JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 306 Reaction score 116 Mar 16, 2012 #2 2cc mkuu ndio cc ngap?au 2000cc?unaeza pata corrolla ya mwaka 1999 model ina cc 1,300
Doltyne JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 440 Reaction score 173 Mar 16, 2012 #3 Carina Ti, Noah, Nadia, Spacio nk, ndio magari ya around budget yako na hayana matatizo ya spare parts... Yapo mengine mengi tu. Uchaguzi ni wako.
Carina Ti, Noah, Nadia, Spacio nk, ndio magari ya around budget yako na hayana matatizo ya spare parts... Yapo mengine mengi tu. Uchaguzi ni wako.
networker JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 570 Reaction score 217 Mar 17, 2012 #4 ninayo gx mia mil9