moja ya hot accessory sasa hivi ni nokia treasure tag.
hichi kifaa ni kama box la kibiriti unakieka kwenye kitu chochote ambacho hutaki kukisahau au kukipoteza. mfano funguo za gari au nyumba, wallet na begi la pesa.
incase ukiondoka nyumbani bila treasure tag na umeset uondoke nayo simu yako itapiga alarm. mfano umeeka treasure tag kwenye funguo za ofisi halafu ukatoka nyumbani bila zile funguo ujue simu yako itapiga alarm.
cool thing kuhusu hichi kidude ni kwamba kinakaa na chaji miezi 6. na nokia wanakiuza dola 29. simu moja inaweza control treasure tag nne.