Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,008
- 285,542
Sema jamaa yetu kabarikiwa sana kwenye haya makitu....Huu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya Uteuzi, Ilipaswa afukuzwe kazi mara moja.
Waziri wa michezo si waziri wa soka pekee, hata kama kwenye soka ndio anapata umaarufu.
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gundu
Aliposema zile jezi hazina ubora maana yake nini! Anataka ziletwe zenye ubora kwa utaratibu wake. Ingawa ukija kwenye uhalisia, mimi nimeziona ni jezi bora na zenye mwonekano mzuri.Hujaonyesha jinsi Makonda anavyohitaji hizo 10%
Tatizo la pili ni kuwa hakuna wekundu!Aliposema zile jezi hazina ubora maana yake nini! Anataka ziletwe zenye ubora kwa utaratibu wake. Ingawa ukija kwenye uhalisia, mimi nimeziona ni jezi bora na zenye mwonekano mzuri.
Hiki ni kituko kingine cha watu wenye akili ndogo ya kufikiri. Ukiziangalia zile jezi zilivyo na mwonekano mzuri, utashangaa kuona anavyoziponda.Tatizo la pili ni kuwa hakuna wekundu!
Hamjamwelewa bashite. Yeye ubora wake anazungumzia kwenye bukta. Yaani wanaume waliojaliwa madude kama yake watavaaje sasa zile jezi??Aliposema zile jezi hazina ubora maana yake nini! Anataka ziletwe zenye ubora kwa utaratibu wake. Ingawa ukija kwenye uhalisia, mimi nimeziona ni jezi bora na zenye mwonekano mzuri.
Hajui zile rangi si za usimba na uyanga bali rangi za Bendera ya Taifa na ndiyo utaifa wenyeweHiki ni kituko kingine cha watu wenye akili ndogo ya kufikiri. Ukiziangalia zile jezi zilivyo na mwonekano mzuri, utashangaa kuona anavyoziponda.
AIBU SANA HII, 🛑 POSHO YA KAPASENTI KAKE/ WAPIGAJI BANA!... Although quality yake ipo chini sana ya kiwango asee!...wameburuza tu almradi...Huu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya Uteuzi, Ilipaswa afukuzwe kazi mara moja.
Waziri wa michezo si waziri wa soka pekee, hata kama kwenye soka ndio anapata umaarufu.
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gundu
Awamu iliyokatizwa muda wake kwa mapenzi ya Mungu hakujifunza kwa ule msemo wa “Usimtegemee mwanadamu ........…”
Huyu jamaaHuu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya Uteuzi, Ilipaswa afukuzwe kazi mara moja.
Waziri wa michezo si waziri wa soka pekee, hata kama kwenye soka ndio anapata umaarufu.
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gundu
Makonda ni mtu mwenye chuki na watu pia ana hasira.hakupaswa hata kupewa hicho cheo.ni mtu mwenye husuda na huongoza kwa hisia zake mwenyewe.ni mtu hatari sana huyu alipewa madaraka makubwa ataumiza wengi kama alivyofanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM.Huu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya Uteuzi, Ilipaswa afukuzwe kazi mara moja.
Waziri wa michezo si waziri wa soka pekee, hata kama kwenye soka ndio anapata umaarufu.
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gundu
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gunduHuu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya Uteuzi, Ilipaswa afukuzwe kazi mara moja.
Waziri wa michezo si waziri wa soka pekee, hata kama kwenye soka ndio anapata umaarufu.
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gundu
Huyu alienda Barcelona Spain na kupiga picha na raisi wa club iliyoandika Samia. Badala hata angeandika ngorongoro mpuuzi tuHuu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.