10 bora ya miss tz 2013 hatari sana!!!

Walimbwende wamependeza....hatari sana!!
 
Kati ya mashindano ya Miss Tanzania niliobahatika kuyashuhudia hili kwangu litakuwa Bora ki ukweli wadada walipendeza na walikuwa Bomba sana.
 
Kati ya mashindano ya Miss Tanzania niliobahatika kuyashuhudia hili kwangu litakuwa Bora ki ukweli wadada walipendeza na walikuwa Bomba sana.

Kweli mdau maana hata hayo mavazi waliyobuni ni realistic na yanavalika mtaani kwetu sio mashindano yaliyopita mtu anabuni vazi japo lipo exceptional ukilinganisha na mengine lakini ukirudi nyuma na kutafakari linavaliwaje huku uswahilini kwetu kama sie tuliopo Mwanza kwenye mawe
 
Vyakula vya Hashimu vipo tayari kupakuliwa na kuliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…