safina ilipatikana wala haikuwa kubwa saana, ilikutwa juu ya mlima fulani but imefukiwa na udongo kama unavojua vitu vya zamani mfano miji ipo chini ya ardhi au baharini
kuhusu viumbe nadhani mungu aliumba vipya kama kweli issue ya safina ni kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.