Je TZS kwa USD ni ngapi. Rate quote ni two way, selling na buying. Wewe Ukiwa na dola unataka shs rate utakayopewa ni buying rate. Ukiwa na shs unataka dola rate unayotumia ni selling rate. In most time selling rate ni kubwa kuliko buying rate na spread Mara nyingi ni kama shs 200 . So Kama uliuza dola zako kupata dafu ni Sawa hiyo rate. Aliyoweka hapa ya 1800 ni Sawa kabisa