😂😂😂😂 Inaonekana una ugonjwa wa Trending no.1, kwa ukubwa wa diamond na followers wake lazima a trend tu
Ila bado nyimbo zake za sasa hazijatoboa na kuna ambayo ilichechemea ku trend..achilia mbali ile iliyofutwa kwa kuba bit
Pamoja na kuwa nyimbo hizo zote zina ad, diamond ana advertise na bado ana followers wengi
Kiba ana subscribers chini ya laki tano, wakati diamond anao zaidi ya 3m unaona gap hili
Kiba hana ad kwenye nyimbo zake diamond ana ad
Kiba is strong, na mashabiki wake ni loyal mno, yaani Kiba hakutakiwa hata kuingia trending
Fact kuwa ana followers wachache sana, hatangazi nyimbo zake utube na bado anaweza kunusa namba moja, huyu sio wa kumdharau ...Diamond anajua hilo sana
Pia wake wengine jamani...wanatoa miziki kila siku na hauoni iki trend