1.Kitila mkumbo 2.Kabudi 3.Mwigulu

Ni zamu ya afcon kinanuka ili niendeleze nyayo za chimbi za kumkosoa huyu mama ili Tanganyika yetu isiuzwe tena.
 
Kitila anatoka Singida, hivyo huwezi kuwa na viongozi wawili toka mkoa mmoja. So option ya Kitila weka kambo.
 
Elewa tu kwamba yeyote atayewekwa hapo ni yule ambaye hana tamaa na 2030, the like of Kabudi.
 
Hapo labda Kabudi, Kitila ni mnyiramba tena anatoka jimbo la Mwigulu mnyiramba mwenzake, akiteuliwa wanyiramba watasema Ilamba nkulu kuliko Tanzania
 
Kina doto biteko wako wapi? Kama vipi ccm ifanye sapraizi kuteua mtu ambaye hadhaniwi na hatajwitajwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…