Mods msiitoe topic huku please.

Kwa kawaida,mwanadamu ana 2 balls,....sijui kama ndio kawaida kweli

au ni wengi wana 2balls,...

wapo wenye ball moja (1),...na wapo wenye 3 balls.

Nataka kujua,toka kwa historia yako au kama umewahi

kumfahamu mmoja kati ya wenye 1 ball,or 3 balls.

Uwezo wao katika mapenzi unakua vipi?

dhaifu (kwa wenye ball 1) au ngangari (kwa wenye ball 3)?

testimony:-

Namjua mmoja,ana ball 1 na kutokana na uoga kwamba hayuko

normal hata alikua hawezi ku-function vyema on bed.

Ila baada ya kupata ushauri mzito toka kwa mtaalam

wa saikolojia,anafurahia mapenzi saivi.

Do you know one,two,.....?

Dahhhh

Nkiona tatu nakimbia..

Clemmy i have read and re-read nimeishia kupata infor tu..... Sijui umewaza nini....

<br /

ivi wewe kwel ni sungu sungu? Haya mwite Uporoto mkeshe kama kawaida yenu_nitajitahd kufuatilia kaz za wanajf kadhaa ingawa wewe nadhan ni health speacialist ivo some days unakuwa on call
Yaaah kuna mzee yupo anafanya kazi halmashauri ya korogwe tanga anazo nne ila ni mzee balaa sana anasifika kwa performance yake ni kila siku ni goli nane na kuendeleaa..........

Yaaah kuna mzee yupo anafanya kazi halmashauri ya korogwe tanga anazo nne ila ni mzee balaa sana anasifika kwa performance yake ni kila siku ni goli nane na kuendeleaa..........

<br /

wewe uwe unakuja na topic zakoza kuonana na wenzako mliomaliza darasa la saba mwaka jana_hayo mambo unayokuja nayo unawashitua wakongwe akina AD
Nimesikia jina langu nimekuja haraka,nikusaidie nini ?Ivi wewe kwel ni sungu sungu? Haya mwite Uporoto mkeshe kama kawaida yenu_nitajitahd kufuatilia kaz za wanajf kadhaa ingawa wewe nadhan ni health speacialist ivo some days unakuwa on call
Mwambie dear,hujambo lakini ?Wote tukilala Jf imelala ..
Twalala zam zam..
Clemmy huna test karibuni kweli maana nakumbuka kama ulisema bado upo chuo? saa hizi its healthy for you to sleep
that said, hii habari ya balls tukaijadilie kule kwa JF doctor
afu, nashangaa kwa nn nachangia hapa ( kumbe ua langu AshaDii yupo hapa)