½ a second before death

½ a second before death

Kuna ile nyingine ilikuwa ni video clip ya muvi wakadai eti imekutwa baada ya ile ajali ya Air France iliyokuwa inatokea Brazil to Paris, kumbe wajanja tulishaonaga kuwa kale ka-clip wamekakata kutoka kwene muvi flani hivi..inashangaza hizi hobbies za watu na uongo wao.
 
Nacheka mwenyewe hapa, baada ya kujua watu wamemstukia, mwanzilishi wa posti kaingia mitini.
 
@popiexo, Mkuu kidogo tu uniingize mujini mzima mzima,
Shukurani Safari ni Safari na ShakaZulu.
Picha ya 2002 mkulu anatufungia kamaba leo,
Kweli Jf kuna vichwa
 
Back
Top Bottom