Sawa mkuu KARIBU SanaEti na wee ni mwana propaganda.
Siwezi gawia watu miamoja pesa bila kuwa mikononi mwa polisi
Mwambieni mama yenu ukweli kuwa vyovyote iwavyo ICC Ina msubiri,hawezi kwepa,atakufa kifo kibaya sana kibudu wenu.
Mwambieni D9 ndo mwisho wa utawala wa kiimla Tanganyika
Mmeanza kutoa bahasha kwa hawa jamaa wenye elimu ya madrasa wasio na elimu ya kuchanganyia kuingiza udini.LITAFELIHiii siku inatia mashaka, Waratibu wanazunguka na mabegi ndani yana kile kilichoongelewa na Mhe. Leo 20/11/2025.
Mpango umefichuka itakua ni rasharasha kuelekea SIKUKUU baadhi washakamatwa lengo ni kupush to the maxmum ili serikali irudie kosa.
Kosa litarudiwa kwa sababu sasa mnachofanya ni uhuni, kuelekea SIKUKUU KAMA HUJALA CHOCHOTE WEWE LALA WENZAKO WAMEANZA MAPEMA KABISAA KULAMBISHWA KITU
CHANGANYA NA ZAKO HII NI BIASHARA YA WATU.
Sifanyi kazi ya mtu..... Naandika ninachokijua na nina uhakika nachoMmeanza kutoa bahasha kwa hawa jamaa wenye elimu ya madrasa wasio na elimu ya kuchanganyia kuingiza udini.LITAFELI
Sasa hivi mmekuja na la watu kupewa hela. Ujinga..LITAFELI PIA
NB: Mnajitoa fahamu kwamba waandamanaji hawana madai youote. Huu ni utoto!!
Hiii siku inatia mashaka, Waratibu wanazunguka na mabegi ndani yana kile kilichoongelewa na Mhe. Leo 20/11/2025.
Mpango umefichuka itakua ni rasharasha kuelekea SIKUKUU baadhi washakamatwa lengo ni kupush to the maxmum ili serikali irudie kosa.
Kosa litarudiwa kwa sababu sasa mnachofanya ni uhuni, kuelekea SIKUKUU KAMA HUJALA CHOCHOTE WEWE LALA WENZAKO WAMEANZA MAPEMA KABISAA KULAMBISHWA KITU
CHANGANYA NA ZAKO HII NI BIASHARA YA WATU.
NonsenseKama huna akili na hujapata mgao lala nyumbani kama unahitaji mkoa ilipo nikwambie nani wa kumuona