1.01.2012 nilikaribishwa hapa...

hujazamia kweli hapa halafu utakuwa umefakamia kama vile unahama ila big up mkuu umeukarisha vizuri mwaka
 
Mkuu wa meza mbona hayupo hapo? au ni nyumba ya wajuba?
 
mwanaume unakuunywa soda kwenye mrija na mademu wanywe kwe ny nini?
 
Naona Mligonga CHAI na SODA!! tena zimefunguliwa kabisa halafu menyu ni ready made on the plate
 
hongera mkuu kwa kuukaribisha mwaka vizuri dua kwanza kabla ya kugonga menyu. very nice combination, chai na soda.
 
hongera mkuu kwa kuukaribisha mwaka vizuri dua kwanza kabla ya kugonga menyu. very nice combination, chai na soda.

Shukran...umeniona lakini hapo ??
 
izo za kitoto izo za kikubwa lazima maji ya dhaabu yawepo kaka
 
Hii picha mlipiga ya nini maana hata ukumbusho haifai maana hamna sura...............happy new year.
 
Wenyewe wako wakijua kama umewaleta JF, sahau mwaliko mwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…