0742: huu ni mtandao gani?

0742: huu ni mtandao gani?

Mchumi90

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,102
Reaction score
1,331
Kuna number inaanzia na hyo code inanisumbua then nikipiga haeleweki
 
vodacom ndugu wamerudisha code ya 0742 ile ya zaman
 
Mwenyewe nimepokea sms isiyo na maneno kutoka namba inayoanza na 0742.
 
Kuna number inaanzia na hyo code inanisumbua then nikipiga haeleweki

Hili limeshaku tatizo ni vizuri tukawekwa wazi ni akina nani hawa maana watu wengi tunapigiwa na hilo namba then hakuna cha maana
 
me niko na namba hii 0628... inasumbua sana halafu anaongea kimasai ananita mama yoyo,dah toka juzi na hizi stress za hapa na pale tunatafutiana lawama tu.
 
me niko na namba hii 0628... inasumbua sana halafu anaongea kimasai ananita mama yoyo,dah toka juzi na hizi stress za hapa na pale tunatafutiana lawama tu.

hii ndo halotel
 
mimi pia huwa napigiwa na mtu af anaongea kizulu kila siku asubuhi kabla sijaamka.sijui kuna tatizo gani?
 
aisee hii ni kweli, hata mm leo nmepata text message inasema VP, Namba 0742....
 
Ni new NDC ya Vodacom na pia Airtel wataanza kutumia 069 hapo tar 14
 
Asee jaman na mimi ni mhanga kuna namba inaanza 0693 Zipo mbili zinanibip mara nkipokea kimya af nkipiga cjui nimeekwa blacklist maana nkipiga inaita mara moja inakata ilazenyewe zinanipata. Msaada wakuu mandao gani huo???
 
Back
Top Bottom