Zungu is a surname. Notable people with the surname include:
Bongani Zungu (born 1992), South African footballer
Lindelwe Zungu (born 1995), South African rugby union player
Mussa Zungu (born 1952), Tanzanian politician
Philani Zungu, South African activist
Vincent Mduduzi Zungu (born 1966), South African bishop
Sandile Zithulele Zungu Maskandi Artist
Bodi ya lthibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imempa onyo kali Mwandishi wa Habari, Bw. Kelvin Justine Raphael, mwenye ithibati halali, maarufu kwa jina la ZUNGU (Matejoo) kufuatia kukiuka maadili ya taaluma ya uandishi wa habari katika maudhui aliyoyachapisha kuhusu tukio la uchelewaji wa ndege...
JAB YAMPA ΟΝΥΟ ΚALI MWANDISHI KWA KUKIUKA MAADILI
Dar es Salaam, 23 Januari, 2026
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), kwa mujibu wa mamlaka iliyopewa chini ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 na kanuni zake, imempa ONYO KALI Mwandishi wa Habari, Bw. Kelvin Justine Raphael...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa maagizo ya Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso ya kuongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji kwa uchimbaji wa visima virefu vya maji vitakavyo uunganishwa katika mtandao wa Mamlaka.
Lengo ni kusaidia...
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii
Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama,
Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule,
Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
Huyu jamaa nilimfahamu katika uzi mmoja Jf Kuna madu alikuwa anamzungumzia hapo nikaaenda moja kwa Moja Instagram katika akaunti yake kufuatilia.
1. Katika kipindi ambacho watu wanaopenda Amani walikuwa wanaogopa hata kukomenti mitandaoni kukemea Fujo za maandamano kwa kuhofia matusi na kejelu...
Familia yake ilisema wote wamezaliwa na kutoka Somalia wakati sio kweli walizaliwa Tanzania. Document zote zipo. Document zote zimenaswa. Kapewa wiki moja tu kustaafu kabla ya ushahidi kutolewa huko Ugiriki na uraia wa familia yake kuchunguzwa
https://youtu.be/rugDxfcjRBE?si=TxtBCPvquHQtM5Hc
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura.
Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
azzan zungu
baada
bunge
bunge la 13
bungeni
jamhuri
jamhuri ya muungano
kikao
kuongoza
kwanza
mara
mheshimiwa
mkutano
mussa azzan zungu
muungano
novemba
spika
spika wa bunge
tanzania
uchaguzi wa spika
ukumbini
zungu
Mgombea Uspika, Musa Azzan Zungu amesema hakuna ugomvi kati ya bunge na serikali au mahakama, isipokuwa lengo ni kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi akijibu swali kuhusu Bunge kutetea wananchi. Ameyasema hayo awali leo Bungeni Novemba 11, 2025.
"Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?".
Mbunge mteule wa...
GT
Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni.
Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa.
Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imebaini kuwa baadhi ya wanaoingia maeneo ya Bunge huvaa sare zinazoashiria au kuzoeleka kuvaliwa na wafuasi au mashabiki wa vyama vya siasa kwa alama, nembo, maandishi ambavyo hutafsiriwa kwa jina, alama...
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema Jengo la Bunge ni la Wananchi na hakuna Mwananchi anayekatazwa kutekembelea lakini lazima kuwe na utaratibu ambapo amesisitiza kuwa suala la Wabunge kukaguliwa ni la muhimu na lazima kwa kuwa wapo wanaoamka na Watu tofauti.
Amesema hayo Bungeni...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia gharama za matibabu kwa wakati.
Akizungumza bungeni leo Alhamisi Aprili 17, 2025 wakati wa kipindi cha...
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo umepangwa kuchezwa kesho. Ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati wa maswali na majibu.
Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema:
"Kama walichokizungumza CHADEMA kitaenda kufanikiwa basi inaenda kuleta ugomvi kati ya raia na vyombo vya dola,kwasababu...
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameishauri Serikali kuangalia mikaba na kusaidia Wakandarasi wazawa kupata nafasi pia katika miradi mbalimbali, ametoa ushauri huo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt.Festo Dugange wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13, leo Februari 13...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.