zinazouzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tonny Kapola Gas Station

    Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

    TBS wameshindwa kazi. Ni kila mtu na lwake. Pombe feki zinachanganywa na mbolea. Madawa ya hospitalini. Makemikali ya viwandani. Halafu wewe unafakamia. Miaka mitano tu mbele ya safari figo na ini hoi. Maisha yanakoma. Ewe mlevi na mnywaji: chukua hatua...
  2. Dennis Robert Shughuru

    Zifahamu njia zitumikazo kutengeneza hizi dawa zinazouzwa pharmacy

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa??? Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa Kama nchi tutategeneze library kubwa itakayokuwa na chemical or compound zinazopatika kwenye nature na zinaposes unique features kama;- ENGULF...
  3. Mr Why

    Nyumba Mpya Zinazozwa Chanika Zinausalama Kweli?

    Wakulungwa kumekuwa na matangazo ya nyumba mpya zinazouzwa Chanika, Chamazi na kwingineko kila kona sasa watu wengi sana wamekuwa na hofu wakitaka kufahamu usalama wa hizi nyumba isijekuwa kuna janja janja JF wapo watu hapa ni wajanja wa kufahamu mambo katika jiji hili la Dar es Salaam ingekuwa...
Back
Top Bottom