zinahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Ni vigezo dhaifu au mfumo ndiyo mbovu wa kumpata Spika wa Bunge?

    Tangu 2016 hadi 2021 nimesikia Spika analaumiwa na yeye akiwa ndani ya Bunge analalamika hata akialikwa kwenye tukio kama mgeni Rasmi analalamika hadi anaongea nje ya mada ya tukio husika. Vigezo vya kuwa Spika ni dhaifu au mfumo mbovu wakumpata Spika?
  2. B

    Rais Samia, hatua zaidi zinahitajika kukabiliana na COVID-19

    Mama Samia rais wetu, umetufahamisha rasmi uwepo wa ugonjwa huu mbaya hapa nchini. Umetaka maelekezo yote yanayotolewa na wataalamu kufuatwa. Kwa mioyo mikunjufu yote tumeyakubali na tutayazingatia. Tunaamini maelekezo yako ndiyo ulio msimamo rasmi wa Serikali na kuwa hayatakuwa maneno matupu...
  3. IMF: Tsh. Trilioni 115.9 zinahitajika kutoa chanjo ya covid19 dunia nzima

    Shirika la Fedha Duniani(IMF) limeandika muswada wa kuitokomeza kabisa COVID19 ambao utagharimu dola bilioni 50 sawa na Tsh. Trilioni 115.9 Imebainika kuwa hadi sasa ni 2% ya waafrika waliopata chanjo, ambapo nchi zilizoendelea zimetoa chanjo kwa watu wengi. ,arekani imeshatoa chanjo kwa 40% ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…