Zao la kahawa limekuwepo nchini Tanzania kwa miaka mingi ni zao ambalo kwa sasa lonachagozwa na uwepo wa vijana. Ni zao ambalo likiwa linapata changamoto kwamba ukiliangalia wamiliki wa mashamba na wenye kahawa walikuwa ni watu wazima na wazee
"Na miaka inavyokwenda tunaona ni Bora kuwahusisha...