zabuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Eti kabla hujaomba zabuni kupitia mfumo wa GPSA ni lazima ujisajili kama mzabuni kwa taasisi unayoomba zabuni?

    Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS. Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini kwanza hakikisha wewe ni kati ya wazabuni waliosajiliwa na taasisi husika. Hivi hii kitu imekaaje? Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Kampuni za ukaguzi wa magari zilizopigwa marufuku Kenya zaomba tenda Tanzania

    Imebainika kuwa kampuni mbili zilizopigwa marufuku kufanya kazi Nchini Kenya ni miongoni mwa kampuni nne zilizoomba zabuni ya kukagua magari katika bandari ya Dar es Salaam. Tangazo la zabuni lililopo kwenye tovuti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili 4...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: nataka itumike "Single Source." Je, "Force Account" za JPM na "Zabuni Shindanishi" za JK zimeishia wapi? Sheria ya manunuzi imefutwa?

    Leo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia. Swali langu lina sehemu mbili tatu: hivi taratibu za matumizi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujifunza taratibu za uzabuni

    Habari..! Naomba kujifunza taratibu za uzabuni. Kwa mujibu sheria za manuzuzi katika miradi ya serikali mfano vifaa vya ujenzi kutoka kwa wazabuni kwa mfumo wa force account. Malipo ya nauli ya usafitishaji vifaa yanajumuisha kwa mzabuni kwenye quotation yake? Au analipwaje gharama za usafiri...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza zabuni ya kupeleka mawasiliano maeneo ya mipakani

    SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo la kupeleka mawasiliano katika kata 179 zenye vijiji 358 mradi unaolenga kupunguza changamoto ya mawasiliano kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…